kizo83
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 354
- 332
Sijaonaga tangazo la nafasi za kazi TTCL,kumbe ni sababu kazi zinatembezwa chini ya kapeti sio.Hizi party za kimya kimya, kama huna mtu wa kuunganishia, utaishia kuzurula na vyeti vyako na zipo nyingi sana hizi party hata TTCL nao kimya kimya, hawatangazi nafasi ila bado wanaajiri watu kimya kimya.