Zaidi ya Wakulima wa miwa 11,000 Kilombero Morogoro wameungana na Mpina kumpeleka Bashe mahakamani

Zaidi ya wakulima wa miwa 11,000 wa Bonde la Mto Kilombero mkoani Morogoro wameungana na Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kumpeleka mahakamani Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kwa kuruhusu uingizaji holela wa sukari kinyume cha sheria uliosababisha viwanda vya sukari kushindwa kununua miwa yao kutokana na kukosa soko la sukari na kutaka kuua kilimo cha miwa nchini.

Wakulima hao wamesema sukari imejaa kwenye viwanda kwani sukari ya kutoka nje ambayo imeingia bila kodi imewaathiri zaidi wao wakulima.

Pia soma=> Mpina kuwapeleka Mahakamani Waziri Bashe na Bodi ya Sukari kwa kutoa idhini ya vibali vya kuagiza sukari kinyume cha Sheria
Wapeleke miwa viwandani waache ujinga wa kesi hautawasaisia ,watapoteza pesa na na hakuna watakachopata.
 
bashe ana mapungufu yake lakini kwenye hili la sukari alifanya sahihi huku mtaani bei ilizidi uwezo wa watanzania wengi wa kawaida na hao wakulima wasijaribu kutumika kuhalalisha kuumizwa sisi watanzania wenzao wa hali ya chini/kati.
 
Mpina na Seif Nassor mbona hawajaandalia vizuri hiyo spichi? Seif anaweza bishara za monopoly tu, hata katika biashara ya matrela, kuna watu wanampa changamoto, na hiyo superdoll pia ajipange
 
Ila hapa kwenye Sukari Bashe yupo sawa .....Sasa wenyewe wauze miwa afu sisi tupandishiwe mabei hapana kwa kweli....Bashe kaza hapo hapo wape watu vibali soko liwe la ushindani bei ishuke na wengine tupate unafuu.
 
Zaidi ya wakulima wa miwa 11,000 wa Bonde la Mto Kilombero mkoani Morogoro wameungana na Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kumpeleka mahakamani Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kwa kuruhusu uingizaji holela wa sukari kinyume cha sheria uliosababisha viwanda vya sukari kushindwa kununua miwa yao kutokana na kukosa soko la sukari na kutaka kuua kilimo cha miwa nchini.

Wakulima hao wamesema sukari imejaa kwenye viwanda kwani sukari ya kutoka nje ambayo imeingia bila kodi imewaathiri zaidi wao wakulima.

Pia soma=> Mpina kuwapeleka Mahakamani Waziri Bashe na Bodi ya Sukari kwa kutoa idhini ya vibali vya kuagiza sukari kinyume cha Sheria
Mlipoambiwa Kilimo mpe Msomali hamkuelewa? Nendeni mkajiulize nawafahamu wasomali ni watu wa namna gani?
 
Zaidi ya wakulima wa miwa 11,000 wa Bonde la Mto Kilombero mkoani Morogoro wameungana na Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kumpeleka mahakamani Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kwa kuruhusu uingizaji holela wa sukari kinyume cha sheria uliosababisha viwanda vya sukari kushindwa kununua miwa yao kutokana na kukosa soko la sukari na kutaka kuua kilimo cha miwa nchini.

Wakulima hao wamesema sukari imejaa kwenye viwanda kwani sukari ya kutoka nje ambayo imeingia bila kodi imewaathiri zaidi wao wakulima.

Pia soma=> Mpina kuwapeleka Mahakamani Waziri Bashe na Bodi ya Sukari kwa kutoa idhini ya vibali vya kuagiza sukari kinyume cha Sheria
Credits...
+254
GenZ.

Appreciated.
 
Kwani wanapofanya feasibility study kabla ya ku invest kwenye hivyo viwanda hawakuona kuwa hizo costs of production na kodi kuwa ziko juu?
Kuna mkutano umefanyika kati ya Mh.Jafo na wenye viwanda nchini. Nakushauri ukasikilize hoja zilizotolewa na wenye viwanda.

Kuna ukandamizaji mkubwa sana wa kikodi ambao unasababisha gharama za uzalishaji viwanda vya Tanzania kuwa juu. Na hali hiyo bila shaka inasababisha bidhaa zinazozalishwa nchini kuwa na bei kubwa kuliko zinazotoka nje.

M
 
Back
Top Bottom