Kwani wanapofanya feasibility study kabla ya ku invest kwenye hivyo viwanda hawakuona kuwa hizo costs of production na kodi kuwa ziko juu?Cost of production kwa Tanzania ni kubwa mikodi ni mingi. Usilaumun
wazalishaji laumu serekali yako.
Wapeleke miwa viwandani waache ujinga wa kesi hautawasaisia ,watapoteza pesa na na hakuna watakachopata.Zaidi ya wakulima wa miwa 11,000 wa Bonde la Mto Kilombero mkoani Morogoro wameungana na Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kumpeleka mahakamani Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kwa kuruhusu uingizaji holela wa sukari kinyume cha sheria uliosababisha viwanda vya sukari kushindwa kununua miwa yao kutokana na kukosa soko la sukari na kutaka kuua kilimo cha miwa nchini.
Wakulima hao wamesema sukari imejaa kwenye viwanda kwani sukari ya kutoka nje ambayo imeingia bila kodi imewaathiri zaidi wao wakulima.
Pia soma=> Mpina kuwapeleka Mahakamani Waziri Bashe na Bodi ya Sukari kwa kutoa idhini ya vibali vya kuagiza sukari kinyume cha Sheria
bangi, kichaa, uchawa, elimulessUNAWEZA SHANGAA ILI JINGA LA WAJINGA LIKABADILISHA GIA ANGANI KUUNGANA NA MPINA GAFLA
View attachment 3045319
Hao wamejazwa ujinga juu ya waliokuwa nao kama mapoyoyo wengine.
Umesahau moja "Tribalist".bangi, kichaa, uchawa, elimuless
Kwamba huwa anafanyia gizani?Abdul muacheni bwana, rafiki yangu sana hua anashangaa hizi tuhuma zenu.
Ajuza wewe ni mtu mbaya snHao wamejazwa ujinga juu ya waliokuwa nao kama mapoyoyo wengine.
Hawana kesi hao, michezo ya kuigiza tu.
Una haki na maponi yako.Ajuza wewe ni mtu mbaya sn
ππππ huyu Ajuza yeye anatetea Waisilamu tu kuanzia asubuhi hadi jioni.Ajuza wewe ni mtu mbaya sn
Mlipoambiwa Kilimo mpe Msomali hamkuelewa? Nendeni mkajiulize nawafahamu wasomali ni watu wa namna gani?Zaidi ya wakulima wa miwa 11,000 wa Bonde la Mto Kilombero mkoani Morogoro wameungana na Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kumpeleka mahakamani Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kwa kuruhusu uingizaji holela wa sukari kinyume cha sheria uliosababisha viwanda vya sukari kushindwa kununua miwa yao kutokana na kukosa soko la sukari na kutaka kuua kilimo cha miwa nchini.
Wakulima hao wamesema sukari imejaa kwenye viwanda kwani sukari ya kutoka nje ambayo imeingia bila kodi imewaathiri zaidi wao wakulima.
Pia soma=> Mpina kuwapeleka Mahakamani Waziri Bashe na Bodi ya Sukari kwa kutoa idhini ya vibali vya kuagiza sukari kinyume cha Sheria
Kwani huko Kilombero na Morogoro hakuna wabunge wa kuwatetea hao wakulima? mmefanya vizuri sana kuungana kwenda mahakamani kupinga hiyo sheria mpya ya bashe kuhusu sukari
Credits...Zaidi ya wakulima wa miwa 11,000 wa Bonde la Mto Kilombero mkoani Morogoro wameungana na Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kumpeleka mahakamani Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kwa kuruhusu uingizaji holela wa sukari kinyume cha sheria uliosababisha viwanda vya sukari kushindwa kununua miwa yao kutokana na kukosa soko la sukari na kutaka kuua kilimo cha miwa nchini.
Wakulima hao wamesema sukari imejaa kwenye viwanda kwani sukari ya kutoka nje ambayo imeingia bila kodi imewaathiri zaidi wao wakulima.
Pia soma=> Mpina kuwapeleka Mahakamani Waziri Bashe na Bodi ya Sukari kwa kutoa idhini ya vibali vya kuagiza sukari kinyume cha Sheria
Kuna mkutano umefanyika kati ya Mh.Jafo na wenye viwanda nchini. Nakushauri ukasikilize hoja zilizotolewa na wenye viwanda.Kwani wanapofanya feasibility study kabla ya ku invest kwenye hivyo viwanda hawakuona kuwa hizo costs of production na kodi kuwa ziko juu?
Ni mdini haswaππππ huyu Ajuza yeye anatetea Waisilamu tu kuanzia asubuhi hadi jioni.