Zaidi ya washiriki 300 kujitokeza maonesho ya madini mkoani Lindi

Zaidi ya washiriki 300 kujitokeza maonesho ya madini mkoani Lindi

Wizara ya Madini

Govt Institution
Joined
Apr 12, 2025
Posts
50
Reaction score
20
Waziri wa Maji, Nishati na Madini Zanzibar Mhe. Shaib Hassan Kaduara kufungua maonesho ya Madini Lindi wilayani Ruangwa

Zaidi ya Washiriki 300 wamejitokeza kushiriki Maonesho ya Pili Lindi (LINDI MINING EXPO 2025 yanayofanyika kuanzia tarehe 11 hadi 14 Juni 2025, katika Viwanja vya Madini - Wilayani Ruangwa.
IMG-20250618-WA0533.jpg


Aidha, TEITI imeshiriki katika kutoa elimu kuhusu shughuli za Sekta ya Madini.

Maonesho hayo yanatarajiwa kufunguliwa rasmi Juni 11, 2025 ambapo Mgeni rasmi katika ufunguzi huo anatarajiwa kuwa
Waziri wa Maji, Nishati na Madini Zanzibar Mhe. Shaib Hassan Kaduara na yanategemewa kuhitimishwa Oktoba 14, 2025.
IMG-20250618-WA0535.jpg


Maonesho hayo, yamebebwa na Kauli mbiu isemayo, "Madini na uwekezaji fursa ya kiuchumi Lindi, Shiriki Uchaguzi Mkuu 2025".
IMG-20250618-WA0532.jpg
 
Back
Top Bottom