Zaidi ya watu 500 waandamana Malaysia wakipinga gharama za maisha kuwa kubwa

Zaidi ya watu 500 waandamana Malaysia wakipinga gharama za maisha kuwa kubwa

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Turun-Malaysia-protestors-2372022.jpg

Zaidi ya watu 500 wamekusanyika na kuandamana wakilalamikia gharama za maisha kuwa kubwa Jijini Kuala Lumpur Nchini Malaysia yakihusisha wanasiasa vijana wa upinzani ambapo pia walipata nafasi ya kutoa hotuba.

Sehemu ya madai ya waandamani ni kudhibiti ongezeko la bei za bidhaa, usalama wa chakula na kutoa misaada kwa Wananchi.

Maandamano hayo yalihusisha watu kutoa taasisi tofauti ambapo Polisi waliweka vizuizi na kueleza kuwa hawakuwa na taarifa juu ya maandamano hayo kama inavyotakiwa kufanyika kwa mujibu wa sheria.

=====================

Cops stop ‘Turun Malaysia’ protesters from marching to Dataran Merdeka

KUALA LUMPUR: Police formed a human barricade along Jalan Tuanku Abdul Rahman to stop the “Turun Malaysia” protesters from marching towards Dataran Merdeka.

About 500 people had gathered at the Sogo shopping complex from 2pm to protest against the rising cost of living.

Activist Sevan Doraisamy and other protesters attempted to negotiate with the authorities to continue their march but were unsuccessful.

Protesters chanted “Hidup Rakyat” and demanded that ministers take a pay cut.

Several youth leaders from political parties, including Adam Adli (PKR Youth chief) and Amir Abd Hadi (Muda co-founder), joined in the protest and gave speeches.

Also present were International Islamic University Malaysia student union president Aliff Naif and members of various NGOs.

Police had earlier blocked vehicles from entering Jalan Tuanku Abdul Rahman in anticipation of today’s protest.

On Thursday, a group calling itself “Turun Malaysia” said it would stage a protest and called on students and other young Malaysians to gather at the shopping complex to make their voices heard over the hike in the price of goods and the rising cost of living.

Yesterday, Dang Wangi district police chief Noor Dellhan Yahaya said the authorities were not notified about the protest as required under the Peaceful Assembly Act 2012, and that action would be taken against those involved.

However, the organisers led by Selangor Amanah Youth chief Abbas Azmin, Undi18 co-founder Qyira Yusri and Universiti Malaya students’ union president Ooi Guo Shen said they would go ahead “because the right to assemble is guaranteed under the law”.

Adam told the crowd that the protest today is to “remind” the government to look into the people’s plight.

“Our demands are very clear,” he said.

Meanwhile, Amir said the people will not stay silent over the rising cost of living which is affecting them badly.

He said the protesters are also demanding for the removal of ministers who are not performing, adding that it could help the government cut down on its expenses.

The five key demands by the protesters were for ministers to take a pay cut, government subsidies to be continued, control on the price of goods, to check the issue of food security, and to provide proper assistance to the people.

The protesters started dispersing shortly after 3pm when the police barred them from marching to Dataran Merdeka.

Source: Freemalaysiatoday
 
Duuh Ulaya serikali zinaanguka, Asia nako moshi umeanza kutokeza
 
Hali ngumu ya maisha kwa sasa iko karibu dunia nzima - USA, India, UK, na Europe yote.

Lakini kwetu hapa hali ngumu anarushiwa lawama Raisi na eti watu kusema laiti angekuwepo fulani basi haya yasingekuwepo. Unafiki mtupu.

 
Natamani kuhamia nchi za ulaya au asia.maana huko watu wanajitambua,hawataki ujinga na watawala wanaposhindwa kuwahudumia wananchi.Tofauti na nchi moja ya kusini mwa jangwa LA sahara ambayo kila kitu kimepanda bei Mara tatu ya bei iliyokuwa miaka mitatu nyuma lakini wananchi wake hawataki kuchukua hatua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona hali ngumu kotekote. Marekani, ulaya na Asia.



Kuna jamaa yangu msabato anasema siku za mwisho zimefika Yesu anarudi.
Ila ni hali ngumu ya kujitakia hii mkuu, we unamuwekeaji vikwazo world supplier wa mafuta, chakula, mbolea n.k

Acha tu wananchi waandamane kuwatoa madarakani.

Viongozi wanaoweka mbele maisha ya wananchi wao mbona hakuna hali ngumu huko ya maisha. Mfano India, China, na sasa Hungary n.k
 
Ila ni hali ngumu ya kujitakia hii mkuu, we unamuwekeaji vikwazo world supplier wa mafuta, chakula, mbolea n.k

Acha tu wananchi waandamane kuwatoa madarakani.

Viongozi wanaoweka mbele maisha ya wananchi wao mbona hakuna hali ngumu huko ya maisha. Mfano India, China, na sasa Hungary n.k
China napo hali tete kwa nfano real estate sector China ipo mahututi! watu wanashindwa lipia morgage loans na property haziuziki kwa kifupi ndani ya miezi michache ijayo kuna severe global financial crisis
 
Naona hali ngumu kotekote. Marekani, ulaya na Asia.



Kuna jamaa yangu msabato anasema siku za mwisho zimefika Yesu anarudi.
Na inflation ni ya Moto hasa Kwa wenzetu , kuna mahali nimesoma kwenye mitandao hata China Hali ni mbaya , debt /mortgage default Kwa makampuni ,mabenki na raia is at highest especially zinazohusiana na real estate /housing
Market .

 
Na inflation ni ya Moto hasa Kwa wenzetu , kuna mahali nimesoma kwenye mitandao hata China Hali ni mbaya , debt /mortgage default Kwa makampuni ,mabenki na raia is at highest especially zinazohusiana na real estate /housing
Market .


financial crisis ipo mlangoni, worldwide sekta ya fedha imeshacollapse ni suala la muda
 
financial crisis ipo mlangoni, worldwide sekta ya fedha imeshacollapse ni suala la muda
US pia Hadi kuna food banks na food stamps , watu wanapewa misaada ya chakula as if nchi iko vitani ,watu wengine hawawezi kuafford meals kutokana na BEI kuwa kubwa Sana

 
Back
Top Bottom