Zain Kuna tatizo gani upande wa SMS ?????

Zain Kuna tatizo gani upande wa SMS ?????

FirstLady1

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2009
Posts
16,789
Reaction score
5,401
Nashangazwa sana na huduma za SMS zinavyokwenda..unaweza kutuma msg leo asubuhi inamfikia mhusika kesho au usiku au isifike kabisa kuna tatizo gani ?
 
FL mimi nilifikuli ni mim peke yangu mana msg za JUZI bado ziko pending

hapana King of King hauko peke yangu wengi tuna tatizo hilo ..sijaelewa kama zain hawana habari na hili ..hiki ni kilio cha wengi
 
Nashangazwa sana na huduma za SMS zinavyokwenda..unaweza kutuma msg leo asubuhi inamfikia mhusika kesho au usiku au isifike kabisa kuna tatizo gani ?

Wako majimboni kwenye Campaign
 
Back
Top Bottom