Zainab Abdalah, shemeji wa Haji Manara na mkuu wa wilaya ya Pangani kumbe ni mke wa Waziri wa Maji?

Zainab Abdalah, shemeji wa Haji Manara na mkuu wa wilaya ya Pangani kumbe ni mke wa Waziri wa Maji?

ngaiwoye

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
2,150
Reaction score
3,225
Juzi niliona kwenye global online Hajis Manara akimshkuru huyu shemeji yake kwa kumpatia mke.

Hajis anasema bi Zainab Abdalah alienda na mumewe Mh. Waziri wa Maji kujitambulisha kwamba hao ni wanandoa.

Nakumbuka zamani huyu mheshimiwa aliolewa ndoa nzuri Sana, Ila baada ya muda mfupi mumewe akaoa tena mke wa pili, hiyo ilikuwa story kubwa sana wakati ule,, bi Zainab alipost kwenye account zake za kijamii kwamba kaukubali uke wenza na kumpongeza mumewe kwa ndoa Ile, huku wananchi wakimuonea huruma sana kama vile wanavyomuonea huruma ni Sabra Isihaka wa Queen Darleen.

Wajuvi wa Mambo niambieni, hivi huyu waziri ndo yule mumewe alieoaga mke wa pili ama waliachana?

Huyu Dc ni mstaarabu Sana japo kiumri ni mdogo
 
Nimesikia walishaachana ..mumewe alikua Abdul Mohammed nilisoma nae pale Azania jamaa alikua smart na kipaji cha uongozi tangu shule.
Ok, waziri hakua na mke ama kamuoa mke wa pili??
 
Juzi niliona kwenye global online Hajis Manara akimshkuru huyu shemeji yake KWA kumpatia mke. Hajis anasema bi Zainab Abdalah alienda na mumewe Mh. Waziri wa maji kujitambulisha kwamba hao ni wanandoa.
Nakumbuka zamani huyu mheshimiwa aliolewa ndoa nzuri Sana, Ila baada ya muda mfupi mumewe akaoa tena mke wa pili, hiyo ilikuwa story kubwa sana wakati ule,, bi Zainab alipost kwenye account zake za kijamii kwamba kaukubali uke wenza na kumpongeza mumewe KWA ndoa Ile, huku wananchi wakimuonea huruma sana kama vile wanavyomuonea huruma ni Sabra isihaka wa queen Darleen.
Wajuvi wa Mambo niambieni, hivi huyu waziri ndo yule mumewe alieoaga mke wa pili ama waliachana???
Huyu Dc ni mstaarabu Sana japo kiumri ni mdogo
Mbona kama sielewi ulichoandika,
 
Huyo DC mume wake alikua Abdul Mohamed, alishawahi kuwa mtangazaji habari za michezo pale Clouds, akaenda BBC na baadae akaajiriwa Azam fc.
Kuhusu Huyu Waziri wa Maji Mh. Jumaa Aweso ambaye pia ni mbunge wa Pangani kumuoa huyo DC labda tumuulize Haji Manara.


Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Aisee
 
Ila mke mdogo ilikuwa pisi Kali..[emoji3][emoji3] kwahiyo akaamua aache bimdogo apandishwe cheo..uke wenza noma sana
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] uke wenza haujawahi iacha ndoa salama.
 
Back
Top Bottom