chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 20,834
- 26,217
Usipochomekea tafuta njia ya kupita msikutane[emoji2]Nilipoingia Azania 2009 alikua msaidizi wa chavila baada ya miezi kadhaa chavila akaondoka akakaimu,,,baadae akawa mkuu kamili akaanza unoko na kuharibu kabisa ile test ya Azaboi