Zainab Abdalah, shemeji wa Haji Manara na mkuu wa wilaya ya Pangani kumbe ni mke wa Waziri wa Maji?

Zainab Abdalah, shemeji wa Haji Manara na mkuu wa wilaya ya Pangani kumbe ni mke wa Waziri wa Maji?

Enzi hizo lakin, sio enzi wanaozungumzia hawa jamaa. Mke wa Kwayu alikua na duka pale getini.

Kuna jamaa nje ya fence alikua akiuza juice tunamuita Mkemia.
Kuna jamaa kule nyuma alikuwa anauza mihogo kama sikosei alikuwa anaitwa Hoseni......
 
Aaha jamani....kumbuka nina meno,na dukani naenda bhana[emoji16][emoji16]
Duh..nilijuaga mkuubwaa..[emoji3][emoji3] kuanzia leo kila unaponiona "Shikamoo Dada yna2" [emoji1787][emoji1787]
 
Hussein tulimkuta mihogo yake amekuwekea ndoo kubwa ya pilipili utajua mwenyewe hata ukimimina ndoo nzima[emoji16][emoji16]
Kuna jamaa kule nyuma alikuwa anauza mihogo kama sikosei alikuwa anaitwa Hoseni......
 
Jamaa nasikia anakula tu..mpaka yule jamaa alikuaga azam akashindwana nae..maana ndio alikuaga mke wnadhani nowdays kateuliwa zenji huko.
 
Back
Top Bottom