Abdul alikua smart kichwani kwa lipi? Alikua na kipaji cha uongozi nakubali ila sio akili, nimesoma Azania miaka 6Nimesikia walishaachana ..mumewe alikua Abdul Mohammed nilisoma nae pale Azania jamaa alikua smart na kipaji cha uongozi tangu shule.
Abdul alikua smart kichwani kwa lipi? Alikua na kipaji cha uongozi nakubali ila sio akili, nimesoma Azania miaka 6
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Hali Siyo Shwari
Huyo Abdul Mohammed ni Board Member pia wa CRDB Board of directors kwa sasa.Huyo DC mume wake alikua Abdul Mohamed, alishawahi kuwa mtangazaji habari za michezo pale Clouds, akaenda BBC na baadae akaajiriwa Azam fc.
Kuhusu Huyu Waziri wa Maji Mh. Jumaa Aweso ambaye pia ni mbunge wa Pangani kumuoa huyo DC labda tumuulize Haji Manara.
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Mkuu hata wewe ukiwa vizuri, unaweza ukaweka kambi.Huyo mama mbona anatapa tapa sana.
Ana mtoto?Mkuu hata wewe ukiwa vizuri, unaweza ukaweka kambi.
Ulisoma nae O -Level? maana wakati wao wapo O level sisi tupo advance.Nimesikia walishaachana ..mumewe alikua Abdul Mohammed nilisoma nae pale Azania jamaa alikua smart na kipaji cha uongozi tangu shule.
Naona vijana wa Ngozye na Mr Ayoub mnachuana[emoji3][emoji2]Abdul alikua smart kichwani kwa lipi? Alikua na kipaji cha uongozi nakubali ila sio akili, nimesoma Azania miaka 6
Hatapitapi. Ametoka kwa kapuku kwe da kwa Waziri. Kwenye cheo, hela, gari mwanamke anageuka tu.Huyo mama mbona anatapa tapa sana.
Nouma Sana .... Mbona mshikaj wake wa Kwanza naskia ni member wa CRDB commetee au tumepigwa kambaHatapitapi. Ametoka kwa kapuku kwe da kwa Waziri. Kwenye cheo, hela, gari mwanamke anageuka tu.
Kakimbia uke wenza kaingia kwenye uke wenza..hatariYes,Zainab ni mke wa pili wa Ustaadh Jumaa Aweso
Hahahaaa!! Ngozye umenikumbusha mbali sana.....kabla hajawa Headmaster alikuwa anafundisha somo la CIVICS those days........Such a charming man.....Naona vijana wa Ngozye na Mr Ayoub mnachuana[emoji3][emoji2]
Hahahaaa!! Ngozye umenikumbusha mbali sana.....kabla hajawa Headmaster alikuwa anafundisha somo la CIVICS those days........Such a charming man.....
Mchwa mpaka.....
Azania for life.......
Ulisoma nae O -Level? maana wakati wao wapo O level sisi tupo advance.
Nakubaliana na wewe kuwa alikuwa na talanta ya uongozi na ndie alikuwa General secretary huku Rais akiwa bwana F.Andrew wa EGM
Alikuwa mwalimu wa Fine arts pia, alikuwa anafundisha kuchora, ofisi yake ilikuwa floor ya juu karibia na fish pondHahahaaa!! Ngozye umenikumbusha mbali sana.....kabla hajawa Headmaster alikuwa anafundisha somo la CIVICS those days........Such a charming man.....
Mchwa mpaka.....
Azania for life.......
ok basi Wewe unazungumzia mwaka 2005/ 2006Abdul alikua mtu wa watu..yupp form 3 mimi nipo form 1
Sahihi[emoji3]Hatapitapi. Ametoka kwa kapuku kwe da kwa Waziri. Kwenye cheo, hela, gari mwanamke anageuka tu.