Usipochomekea tafuta njia ya kupita msikutane[emoji2]Nilipoingia Azania 2009 alikua msaidizi wa chavila baada ya miezi kadhaa chavila akaondoka akakaimu,,,baadae akawa mkuu kamili akaanza unoko na kuharibu kabisa ile test ya Azaboi
Soma hapoNouma Sana .... Mbona mshikaj wake wa Kwanza naskia ni member wa CRDB commetee au tumepigwa kamba
Usipochomekea tafuta njia ya kupita msikutane[emoji2]
ok basi Wewe unazungumzia mwaka 2005/ 2006
Usipochomekea tafuta njia ya kupita msikutane[emoji2]
Hakutaka mtu awe chini yake ndiyo maana ameona bora awe chini ya mtuKakimbia uke wenza kaingia kwenye uke wenza..hatari
nazungumzia mwaka ambao wewe unasema upo form oneHapana abduli alimaliza 2010
nazungumzia mwaka ambao wewe unasema upo form one
ok kwa hiyo wakati yeye yupo form 3 wewe ndio unaanza form one2009-2012
Asee kumbe humu watu ni madogo zetu kwa mbali sana.2009 form one?ok kwa hiyo wakati yeye yupo form 3 wewe ndio unaanza form one
Nilizan mnazungumzia enzi za Andrew Kwayu, kumbe juzi juzi tu.Hahahaaa!! Ngozye umenikumbusha mbali sana.....kabla hajawa Headmaster alikuwa anafundisha somo la CIVICS those days........Such a charming man.....
Mchwa mpaka.....
Azania for life.......
Nilipoingia Azania 2009 alikua msaidizi wa chavila baada ya miezi kadhaa chavila akaondoka akakaimu,,,baadae akawa mkuu kamili akaanza unoko na kuharibu kabisa ile test ya Azaboi
Nilizan mnazungumzia enzi za Andrew Kwayu, kumbe juzi juzi tu.
"In the heaven of peace, Azania stand at ease, forever, together, we always say, You are known far and wide, you are always our guide, we will never forget you"
Hakika nyie ni wana Azania.....Wakati huo mwalimu mkuu ni Kwayu.....Alikuwa mwalimu wa Fine arts pia, alikuwa anafundisha kuchora, ofisi yake ilikuwa floor ya juu karibia na fish pond
Hakika nyie ni wana Azania.....Wakati huo mwalimu mkuu ni Kwayu.....
Asee kumbe humu watu ni madogo zetu kwa mbali sana.2009 form one?
ok kwa hiyo wakati yeye yupo form 3 wewe ndio unaanza form one
kuna yule mwalimu alikuwa ofisi ya usajili alikuwa hacheki na mtu kabisa, ofisi yake ilikuwa nyuma ya Assembly ! Jina lake nimelisahauYeap nilipofika form 2 tukawa na ukaribu nae,,,japo haukua mkubwa kivile
kuna yule mwalimu alikuwa ofisi ya usajili alikuwa hacheki na mtu kabisa, ofisi yake ilikuwa nyuma ya Assembly ! Jina lake nimelisahau
hahaha. hatari sana yule mzeeMatawa...
Sawa mkuu tuko pamoja humu ndani hakuna umri.Mkuu mimi ni mdogo tu baba 25yrs now
hahaha. hatari sana yule mzee