Zakhia Meghji, Kuna anayemuelewa sasa kweli?

Zakhia Meghji, Kuna anayemuelewa sasa kweli?

frema120

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2012
Posts
5,098
Reaction score
1,339
Tangua anze kuongea sasa live Tbc na startv kwenye bunge la katiba, na kusema anajenga hoja

Je kuna mtu kamuelewa hoja yake!
kwani nimeshindwa kumuelwa msaada!
 
lusinde sasa muda wake, hoja hakuna ni mipasho na matusi tuuuuu
 
sijui kwanini walipeleka hawa wanasiasa kewnye bunge la katiba

this bunge needed only 60 people
 
Mkuu wewe tumefanana,nimemsikiliza mwa makini lkn sikuambulia chochote.Na kama kawaida magamba walikuwa wakimshangilia
ila hoja aliyoijenga sikuiona mbali na kuwasilisha msimamo wa chama wa kutaka kura ya wazi.Nasema ni msimamo wa chama coz magamba wote wameishikia bango kura ya wazi,nadhani kuna kitu nyuma yake.
 
Ndiyo madhara ya jk kuchagua Viti maalum akiwa mkwe. Ukweli hana sifa ya kuwa mjumbe wa bunge hili la kitaalamu na la kisomi...
 
wanataka wa Gombea uraisi wasio upande wa serikali mbili wakose kura za znz
 
Chama tawala kinaogopa kura ya siri kinataka kura ya wazi .nani anasema ndio,ndioooo nani anasema hapanaa kimya waliosema ndio wamepita,hapana hiyo sio demokrasia.demokrasia na haki ya kupiga kura duniani kote ni kupiga kura kwa siri.Nahofia chama tawala kina kitu inakiogopa ndio maana inatawaka iwatishe wajumbe wake.Big up Mh Machari. Akina Serukamba waache ukasuku au kujipendekeza kwa watawala.
 
Mwingine aongelea jinsi ya ukamataji vitabu vya biblia au quran,asema wengine hawana tohara,kuchangia anachukua muda mfupi muda mwingi anatumia kuelezea mambo ya udhu
 
Kwanza huyu ni mwanasiasa ambaye hajawahi kupigiwa kura na wananchi, yeye ni mtu wa kuteuliwa tu. Kwahiyo hana anayemwakilisha!
 
Mkuu wewe tumefanana,nimemsikiliza mwa makini lkn sikuambulia chochote.Na kama kawaida magamba walikuwa wakimshangilia
ila hoja aliyoijenga sikuiona mbali na kuwasilisha msimamo wa chama wa kutaka kura ya wazi.Nasema ni msimamo wa chama coz magamba wote wameishikia bango kura ya wazi,nadhani kuna kitu nyuma yake.

kuna kiti kabisa.... ameongea point with no facts kabisa.... lakin kasimama anasema anajenga hoja mpaka mwisho sijaona hoja.
 
Back
Top Bottom