Zalan nayo ni timu ya kuiroga, aibu kubwa hii

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Dah nimepita sehem maeneo ya uwanja wa Taifa, mambo ya nje ya uwanja yanayofanyika ni hatari tupu, nashindwa kuelewa hivi hata Zalan ni ya kuvunja nazi mida hii, ina maana kwa usajili mlioufanya hamna uhakika na ushindi hiyo kesho, dah, kazi ipo
 
Mnatafuta sababu mapema ili tukiwafunga zalan goli 10 mpate sababu yakusema tumeroga, uku nyinyi mkipigwa kipigo cha mbwa koko na nyasa big bullet
Muwafunge Zalan goli 10? Kesho wakiwakosa sana ni 3-1 wanawatandika.
 
Dah nimepita sehem maeneo ya uwanja wa Taifa, mambo ya nje ya uwanja yanayofanyika ni hatari tupu, nashindwa kuelewa hivi hata Zalan ni ya kuvunja nazi mida hii, ina maana kwa usajili mlioufanya hamna uhakika na ushindi hiyo kesho, dah, kazi ipo
Unapokuwa mchawi unakuwa unafikiria uchawi kwa kila mtu, eti nimepita sehemu hizo mambo waliobobea kuzifanya ni wale waliokwenda kuwasha moto south africa na bado wakabanduliwa
 
Dah nimepita sehem maeneo ya uwanja wa Taifa, mambo ya nje ya uwanja yanayofanyika ni hatari tupu, nashindwa kuelewa hivi hata Zalan ni ya kuvunja nazi mida hii, ina maana kwa usajili mlioufanya hamna uhakika na ushindi hiyo kesho, dah, kazi ipo
We unashangaa hyo wakati watu wameanza kuchangia hela ya mganga ya mechi ijayo ya simba wanaweka hela kwenye sahani hao ndio utopolo.
 
Dah nimepita sehem maeneo ya uwanja wa Taifa, mambo ya nje ya uwanja yanayofanyika ni hatari tupu, nashindwa kuelewa hivi hata Zalan ni ya kuvunja nazi mida hii, ina maana kwa usajili mlioufanya hamna uhakika na ushindi hiyo kesho, dah, kazi ipo
Weka namba uchangiwe ukale chakula
 
Dah nimepita sehem maeneo ya uwanja wa Taifa, mambo ya nje ya uwanja yanayofanyika ni hatari tupu, nashindwa kuelewa hivi hata Zalan ni ya kuvunja nazi mida hii, ina maana kwa usajili mlioufanya hamna uhakika na ushindi hiyo kesho, dah, kazi ipo
ushaambiwa nyuma mwiko unategemea nini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…