Zali la Mentali

Zali la Mentali

2018

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2018
Posts
546
Reaction score
779
Wakuu kama wakuu,

Aloo nakumbuka enzi hizo umetoka wimbo wa Prof.Jay ft. Juma Nature unaoitwa zali la mentali.

Wahuni kibao mtaani wakaanza kufanya kazi ya kusukuma mikokoteni ili nao wapate zali hilo la mentali.

Wapo waliolipata zali la mentali na wengine wengi hawakupata na baada ya miaka mingi wakaamua kurejea kwenye kazi zao za awali.
 
Watu wakaanza kutembelea upepo wa zali la mentali [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wengi sana walitelekeza kazi zao,wajenzi,makonda,madereva,wapishi,waalimu wa twisheni,[emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom