greater than
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 1,653
- 3,060
Nipo zangu katika Site ya ujenzi ,Kuna wazo la Uwekezaji mdogo limenijia.
Fungua akaunti kwenye UTT
Lakini kumbuka uliwekeza
100,0000 = ya kufungulia akaunti ya UTT
1000,000 x 3 = ya mzunguko (ule mchango wako wa 50 kwa mwezi kwenda UTT) X 3 (idadi ya mizunguko)
Jumla ya uwekezaji =3,100,000
Kwa ujumla utakuwa na 10,570,000
maoni na nongwa.....
- Kwa wale wanaopokea mshahara wa kuanzia 250,000 hadi 450,000
- Ambao hawapati nafasi ya kufanya biashara nje ya kazi yao.
- Wasio na Pensheni.
- Uwezo wa kuiweka hela na kuisahau.
- Fedha yenye maremgo ya miaka miaka mitano ijayo.
Fungua akaunti kwenye UTT
- wekeza kwenye mfuko wa UTT,ambapo kima cha chini ni 100,000 ili uweze kuwekeza
- Kila mwezi peleka 50,000 kwa mda wa miezi 20 (mwaka na miezi nane)
- Jumla utakuwa umwekeza 1,100,000
- UTT utazalisha faida ndogo ya 120,000 kutoka UTT
- jumla utakuwa na 1,220,000
- toa 1,120,0000 halafu kwenye UTT ubakishe 100,000
- Chagua hati fungani ya miaka 15 yenye kutoa Riba ya 13.5%
- Kila mwaka utapewa 166,000 kwa mda mda wa miaka 15
- Kwa mzunguko mmoja utakuwa na 166,000
- Katika mzunguko wa pili ,Ukawekekeza 50,000 kila mwezi kule UTT kwa mda wa miezi 20 tena,na kuchukua hati fungani mpya utakuja pata 166,000 nyingine.
- kwa mda wa miaka miaka 7 na nusu unaweza kuwa na mizunguko mitatu ambayo kila mmoja inazalisha 166,000 kwa mwaka kwa mda wa miaka 15.
Lakini kumbuka uliwekeza
100,0000 = ya kufungulia akaunti ya UTT
1000,000 x 3 = ya mzunguko (ule mchango wako wa 50 kwa mwezi kwenda UTT) X 3 (idadi ya mizunguko)
Jumla ya uwekezaji =3,100,000
Kwa ujumla utakuwa na 10,570,000
maoni na nongwa.....