Yawezekana uliongea naye pembeni eeh? Lol
Hata hivyo kupendekeza sio closest match. Bado nasimamia 'kuunga mkono'
Wewe lako ni lipi? Au Kiranga akishasema kwako hakuna mjadala?
Narudia tena huwezi kupima umbo la square kwa nyuzi ila unapima angle kwa nyuzi tofautisha, hakuna kiswahili swahili hapo. Hebu tuambie square ya L:6 W:6 ina area ya nyuzi ngapi.
"Kuunga mkono' si neno, ni maneno, tunatafuta neno, kama tungetafuta maneno tungekuwa na shindano la insha au kuandika kitabu.
"Gazeti la Tanzania Daima "linampendekeza" Dr. Slaa kwenye ugombeaji wake wa uraisi"
"Gazeti la Tanzania Daima "linamuunga mkono" Dr. Slaa kwenye kwenye ugombeaji wake wa uraisi"
Kuna maneno ambayo kwenye tafsiri ya lugha ingine huwezi kupata neno moja tu linalotoa tafsiri. Bisha na hilo....
Wahariri wanaojua linguistics na economy of words watachagua "linampendekeza"
Right, lakini si hili la endorse, tushaona kuna "pendekeza" so "kuunga mkono is less efficient and unnecessarily long.
Yawezekana uliongea naye pembeni eeh? Lol
Hata hivyo kupendekeza sio closest match. Bado nasimamia 'kuunga mkono'
Wewe lako ni lipi? Au Kiranga akishasema kwako hakuna mjadala?
hata ushindi wa kuwa 'nimeotea' ndivyo unakataa kunipa! hahaha sawa bwana
sidhani kama kuna neno ambalo linaleta hasa ile maana halisi ya endorse lakini nadhani kwa muktadha wa leo ni 'kuunga mkono' na sio 'kupendekeza' kwa vile hajampendekeza dkt slaa kwa wasomaji wake unless tuseme kajipendekezea 🙂
No wonder we never get anywhere.
Basi mfundishe Kiranga namna ya kusoma na kuelewa muktadha maana naona anarukaruka tu kaa Mbayuwayu bila uelewa wa muktadha husika.
Kama kweli uliotea basi heko dada.
Rudi usome tena makala ya blogger. Anapendekeza au anaunga mkono?
Kiranga mimi si ngwini lakini ukileta maneno ya field yangu nayaweza.Halafu hakuna kitu kama "illiterate wa math" mtu asiyejua math ni "innumerate"
Mshaanza spin mastering hapa, issue ni "endorse".
Nafikiri unapompendekeza mtu you put more of your neck on the line kuliko unavyo "muunga mkono". Mathalani, unaweza kumuunga mtu mkono kisirisiri, au kumuunga mkono mkiwa wawili tu, yeye na wewe, bila kuhusisha mtu mwingine. Lakini unapompendekeza ina imply kwamba umekuja out in the open na kumpendesha kwa watu wengine.
Hence political endorsement is more like kupendekeza zaidi ya kuunga mkono.
Kiranga mimi si ngwini lakini ukileta maneno ya field yangu nayaweza.
Tofautisha Hesabu (counting, basic maths) na Hisabati (pure mathematics), wewe si innumerate ila ni illiterate wa maths. Wewe si kwamba hujui hesabu (counting) hapana hizo hata cashier wa benki anazijua. Kiwango chako cha hesabu kinaishia kwenye simple arithmetical operations tu yaani +,- ,x, / huendi zaidi ya hapo kwa hiyo siwezi kukuita wewe ni innumerate.
Baada ya kiwango hicho kuna pure maths esp. degree holders specialized in maths huwezi kuwaita ni ma numerate hawa ni professionals wa maths wewe huko kwenye kundi hili. Kwa hiyo ninaweza kusema kabisa wewe si innumerate kwa vile unajua kuhesabu and simple arithmetics ila ni illterate au simply layman wa mathematics. Mimi si linguistic naweza kusema kabisa ni layman kwenye hiyo field na sioni aibu kusema hivo.
nijuavyo:
kukiwa na choice mbili ambayo moja unaiunga mkono na ukataka watu pia waiunge mkono choice ile ......hapo ni kupendekeza
tatizo hapa huyu blogger hajatwambia kuwa na sisi tumfate slaa, kasema yeye tu anamfata.....itabidi nibaki na kumuunga mkono
KirangaWewe umesema huwezi kupima umbo kwa nyuzi, unapima angle kwa nyuzi.
A circle has 360 degrees (nyuzi) na kwa mujibu wako wewe, huwezi kupima umbo kwa nyuzi, unapima angle tu kwa nyuzi, sasa unaweza kutuonyesha hiyo angle ya circle yenye 360 degrees ili tujue kwamba tunaposema kwamba a circle has 360 degrees tunachoongelea ni degrees za angle na si za umbo zima la circle ?
Hakuna spin master aliyebobea kama wewe ma dude. Wewe ni spin doctor extraordinaire!!
Blogger yeye kaamua kumuunga mkono mgombea wa CHADEMA waziwazi. Sioni tatizo hapo.
Kwako wewe ni hivyo lakini kwangu mimi political endorsement ni kuunga mkono kisiasa n.k.. Ni kuunga mkono sera za mgombea na yote au mengi ya anayosimamia na kuyaamini.
Kiranga
Nimekwambia maths si sawa na linguistic kuwa tutaelezana humu hadi ni prove, kwa waliosoma maths wanaweza kukuelewa kuwa maths huwezi kusoma umelala kitandani unatakiwa uwe na kalamu na karatasi au uwe ubaoni. Therefore i cant be able to make a proof here.