Kiranga mimi si ngwini lakini ukileta maneno ya field yangu nayaweza.
Tofautisha Hesabu (counting, basic maths) na Hisabati (pure mathematics), wewe si innumerate ila ni illiterate wa maths. Wewe si kwamba hujui hesabu (counting) hapana hizo hata cashier wa benki anazijua. Kiwango chako cha hesabu kinaishia kwenye simple arithmetical operations tu yaani +,- ,x, / huendi zaidi ya hapo kwa hiyo siwezi kukuita wewe ni innumerate.
Baada ya kiwango hicho kuna pure maths esp. degree holders specialized in maths huwezi kuwaita ni ma numerate hawa ni professionals wa maths wewe huko kwenye kundi hili. Kwa hiyo ninaweza kusema kabisa wewe si innumerate kwa vile unajua kuhesabu and simple arithmetics ila ni illterate au simply layman wa mathematics. Mimi si linguistic naweza kusema kabisa ni layman kwenye hiyo field na sioni aibu kusema hivo.