Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Mkuu nashukuru sana kwa ujasiri wako.
yaani nilichgundua wafanyabiashara wengi sana wanaiogopa ccm.
m2 anapandisha kaghrofa kake Pale Dar juu ameweka Bendera ya ccm.
Nina uhakika 100% most of you mnatumia hizo bendera kama protection.
Hivi ni kweli mtu akiweka bendera ya upinzani, au asipoweka bendera yoyote, atapatwa na balaa ?
Au ni woga na ukondoo tu tunasingizia CCM? Kuna mifano yoyote ya watu waliofanyiziwa kwa sababu ya bendera?
Naweza kuelewa kidogo kwenye context ya sehemu za biashara, agents wa serikali na CCM wanaweza kukuharass, lakini mtu binafsi nyumbani kwako? uweke bendera ya CCM bila kutaka? Ukiamua kuacha kuweka bendera kabisa je?
Wanaoweka bendera nyumbani wanataka au wanajipendekeza kwa CCM.