Elections 2010 Zama Mpya: Blogu Yamu-endorse Dkt Slaa

Elections 2010 Zama Mpya: Blogu Yamu-endorse Dkt Slaa

Mkuu nashukuru sana kwa ujasiri wako.
yaani nilichgundua wafanyabiashara wengi sana wanaiogopa ccm.
m2 anapandisha kaghrofa kake Pale Dar juu ameweka Bendera ya ccm.
Nina uhakika 100% most of you mnatumia hizo bendera kama protection.

Hivi ni kweli mtu akiweka bendera ya upinzani, au asipoweka bendera yoyote, atapatwa na balaa ?

Au ni woga na ukondoo tu tunasingizia CCM? Kuna mifano yoyote ya watu waliofanyiziwa kwa sababu ya bendera?

Naweza kuelewa kidogo kwenye context ya sehemu za biashara, agents wa serikali na CCM wanaweza kukuharass, lakini mtu binafsi nyumbani kwako? uweke bendera ya CCM bila kutaka? Ukiamua kuacha kuweka bendera kabisa je?

Wanaoweka bendera nyumbani wanataka au wanajipendekeza kwa CCM.
 
Nashukuru umeleta hiyo definition inayo stress the public aspect of endorsement, kwa sababu kuna watu wanasema unaweza kumu endorse mtu kisiri siri hapa.

Na ndicho hicho alichofanya bwana blogger. Kamuunga mkono Slaa wazi wazi. Na sijaona popote pale kwenye makala yake anapompendekeza Slaa kwa wengine.
 
wana JF,
Kwanza nawashukuru wale wote waliobuni utaratibu huu. Nathamini mawazo yote yaliyotolewa. Kwangu mimi whether lugha iliyotumika ni kuunga mkono(SUPPORT) au ni ku "endorse" ni semantics zaidi, japo ni concepts mbili tofauti. mimi nadhani jambo la msingi ni lengo gani tunalo, na tunataka kulifikia kwa njia gani. Wakati wengim kimsingi tunakubali kuwa nchi inateketea hatuna sana luxury ya kucheza na maneno. inawezekana kabisa sisi binafsi na moja moja tuna hali nzuri, lakini tufikirie mama zetu wengi walioko vijijini, shangazi, marafiki. kwa taarifa rasmi ya serikali tunaongeza absolute numbers ya wananchi wenzetu wanaoishi chini ya poverty line katika nchi yenye rasilimali za kutupa. there must be a serious problem that needs an immediate solution. hatutapata solution kwa kucheza na maneno bali maamuzi magumu na mazito lazima yafanyike. ukiacha umaskini mafanikio ya nchi yanapimwa zaidi na serikali iliyoko madarakani kwa programs zilizotekelezwa badala ya vision, tuko wapi, tunataka kwenda wapi na tutafika vipi. nchi ambayo miaka 50 baada ya uhuru inahesabu matundu ya choo yaliyojengwa wakati wenzetu wanapanga kwenda kuishi kwenye sayari ni kujichimbia kaburi letu wenyewe kwa misingi tu ya ushabiki wa kisiasa na kuacha critical thinking na analysis. Naomba radhi, lakini ninapenda kuita a spade a spade.
narudia tena, nawashukuru sana wote kwa kuniuunga mkono na au kuni endorse. Naomba tuianze hii safari ya ukombozi kwa pamoja hadi mwisho wake kwani ni hatima ya nchi yetu ndiyo ipo at stake, ni rasilimali za taifa letu, ni ajira yetu na ya vijana wake ikiambatana na na ujira bora, ni swala la kuwa na effective and efficient government kwa nia ya kutuhudumia na siyo kuogelea katika anasa. sina nia ya kufunga mjadala bali nina nia ya kuleta changamoto zilizoko mbele yetu kama Taifa[

QUOTE=Kiranga;1045143]Ku endorse mtu si lazima useme sababu, itakuwa vizuri kufanya hivyo, utaonekana unajua unachosema, lakini si lazima.

Naweza kusema ukiweka bumper sticker ya "Obama Biden '12" una wa endorse -pendekeza- hawa watu (take that Nyani) na wala huhitaji kuweka sababu zako ili endorsement hii iwe kamili.

On the other hand unaweza kuchangia kampeni kimya kimya, ukawa umewaunga mkono lakini hujawa endorse.

There is the differnce between "kupendekeza" (endorse) na "kuungs mkono" ( support)[/QUOTE]
 
"Illiterate wa math" Hilarious, I am still laughing at how people expose themselves here.

Illiterate --> Literature --> Kusoma na kuandika --> Ungwini
Innumerate --> Numbers --> Kuhesabu --> Ulongman

Ukisema illiterate haiendani na maths, havichanganyiki kama mafuta na maji.

Umelikoroga.

Kwenye angle vipi, usha give up?
Kwa ungwini mimi nina admit ni layman na sioni aibu kwa hilo lakini mnapokuja kwenye namba tutakesha, kwenye hiyo field sioni mtu hapa wa ku argue naye nawaachia uwanja muendelee na endorsement yenu. Good Bye, nawaacha na assignment atakayepata jibu tuwasiliane.

Integer programming problem.

Suppose that we are considering four possible projects A B C and D, which each run for 3 years and have the following characteristics:Capital requirements (£m)

Project A Requirements in Year 1 2 3 respectively (0.5, 0.3, 0.22) Returns £0.2
Project B Requirements in Year 1 2 3 respectively (1.0, 0.8, 0.23) Returns £0.3
Project C Requirements in Year 1 2 3 respectively (1.5, 1.5, 0.34) Returns £0.5
Project D Requirements in Year 1 2 3 respectively (0.1, 0.4, 0.1 ) Returns £0.1

Available capital (£m) in Year 1 2 3 respectively (3.1, 2.5, 0.4)

We have a decision problem here: Which projects would you choose in order to maximise the total return?
 
Wewe nenda kasome elementary geometry kwanza then tutaweza kuongea, unaturusha steam tu.
 
Wewe nenda kasome elementary geometry kwanza then tutaweza kuongea, unaturusha steam tu.
Huwezi kitu nimekuona kumbe wewe ni debe tupu longo longo nyingi tu ambazo mtu yeyote anaziweza. Hiyo elementary geometry ni ya Form One haisaidii kitu.
 
quinine kwa kuwa watu wana discuss language ndio unafikiri hawajasoma maths? watu walishaachana na math hizo za Euclidean na Mahalanobis distance zama nyingi sana..........sasa wanaongea kwenye fuzzy clusters na neural networks tena!

hapo kwenye Red naweza kukwambia hivi .........experience yako na wenzio wachache usiifanye ndio kipimo cha usomaji math. unaweza ukasoma kitandani, huku unatizama tv na ukaelewa vile vile.
Kusoma unaangalia TV ni history si mathematics, maths achana nayo wewe endelea ku google dictionary tu lakini si intergrations.
 
dont even go there quinine .................
 
watu wengine kwa kupenda ligi! ....
Wamekesha toka jana na neno moja tu la endorse kweli ujuha mwingine si lazima uambiwe, ni sawa na vichaa wanaogombania mlango hewa uliochorwa kwenye ukuta.
 
Wamekesha toka jana na neno moja tu la endorse kweli ujuha mwingine si lazima uambiwe, ni sawa na vichaa wanaogombania mlango hewa uliochorwa kwenye ukuta.

Acha longolongo wewe, tuonyeshe angle ya duara hapa.
 
Ulipokuwa form 1 hesabu ulikuwa unaziona kama mama mkwe leo utaelewa nini na uzee huo endelea ku google dictionary huko.

If you must know.

Nilivyokuwa form one nilikuwa na deal na theoretical physics, cosmogony na SETI, ili ku deal na SETI ilibidi ujue ma Drake's equation, ili kujua cosmogony na the curvature of spacetime inabidi ujue sio tu elementary geometry, bali pia Non-Euclidean geometry na ma topology ya Poincare's conjecture. Some Carl Sagan right before graduating to Hawking and Karl Popper.

I bet hata hujawahi kusikia flatland na vitu kama hivyo. Don't make me do it cause I overdo it. When was the last time you held a book ?

Onyesha angle ya duara hapa, acha longolongo nyingi.

Onyesha, usikwepe kuonyesha, onyesha !
 
Najifunza mengi sana kutokana na maandiko yako mfano...ili ku deal na SETI ilibidi ujue ma Drake's equation, hainipi shida kujua akili yako ilipoishia

Kwa taarifa yako kwenye sylabus ya O level na A level Tanzania hatuna vitu kama hivyo, tatizo lako una google kila kitu bila kujua kina maana gani na kinatumika wapi. Form one gani Tanzania huwa wanajifunza SETI , Drake's equatin, neither in O level nor A level.
 
Hata technical School ambako kulikuwa na Engineering Science ambayo ni kama Physics, hii kitu haifundishwi Form one. Labda ungelisema form 5 au University mwaka wa kwanza. Hapo sasa umepatikana kuwa una Google kwa saaana mkuu.....
If you must know.

Nilivyokuwa form one nilikuwa na deal na theoretical physics, cosmogony na SETI, ili ku deal na SETI ilibidi ujue ma Drake's equation, ili kujua cosmogony na the curvature of spacetime inabidi ujue sio tu elementary geometry, bali pia Non-Euclidean geometry na ma topology ya Poincare's conjecture. Some Carl Sagan right before graduating to Hawking and Karl Popper.

I bet hata hujawahi kusikia flatland na vitu kama hivyo. Don't make me do it cause I overdo it. When was the last time you held a book ?

Onyesha angle ya duara hapa, acha longolongo nyingi.

Onyesha, usikwepe kuonyesha, onyesha !
 
Hata technical School ambako kulikuwa na Engineering Science ambayo ni kama Physics, hii kitu haifundishwi Form one. Labda ungelisema form 5 au University mwaka wa kwanza. Hapo sasa umepatikana kuwa una Google kwa saaana mkuu.....

Ndiyo tatizo letu wabongo, mnafikiri kila mtu anasubiri kufundishwa shule, kila mtu anaenda na mitaala ya shule.Mimi nilikuwa nashinda library na kusoma mambo ninayotaka, kuandika mashairi, kusoma theoretical physics na cosmogony.

Masomo ya mitaala rasmi yalini-bore. Kwani nimekwambia nimesoma hayo darasani? Nimesema "nilivyokuwa form one" kama kukupa idea ya umri huo kama huyu jamaa alivyouliza.

Objection yako inaonyesha kilema chetu cha kitaifa kilipo, kila mtu anasoma kwa kufuata mitaala ya shule na hawezi kufikiria outside the box.
 
Eti unashinda library kusoma mambo unayotaka, huo tunauita ni u much know.....

Ulikuwa unaenda off topics kwa sababu hakuna vitu kama hivyo O level hata A level ya Tanzania, mimi nina syllabus na past papers karibu za mitihani yote tangu 1990 hakuna swali hata moja la Drake's equation kawadanganye wengine si mimi mzee.

Nyie endeleeni tu kubishana na endorsement yenu ni siku ya pili sasa mnazozania neno moja kama mazuzu lakini ukija kwenye namba hupati kitu.
 
Tuko pamoja Mkuu weka tu vizuri hiyo buckground, Slaa ni chaguo letu na wote lazima wajue.
 
Back
Top Bottom