Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 3,114
- 6,309
Kuna uzi ukiwahi nitag kuhusu mambo ya imani siukumbuki ni kitambo kidogo! Ndio nautaka..
Ngoja nichek nione.
Kuna uzi ukiwahi nitag kuhusu mambo ya imani siukumbuki ni kitambo kidogo! Ndio nautaka..
Hicho ki drone kikipita mitaani ya Tandale waswahili wanakibutua na manatiKwazile GPS Drones tulizoona jana kwenye Tamasha la Simba.
Soon hapa TZ Utaagiza kitu Online. Na kama mzigo sio mzito. Bas GPS Drones inakuletea hadi kwako.
Hizi kuagiza Chakula au devices ndogo ndogo kama simu nk . Zile drones zinasertiwa tu , zinafika sehem kuchukua Mzigo. Na Zinampelekea mteja hadi mlangoni. Na kurudi zenyewe ofisini.
Ni kama ilivyo Duka Direct au Piki Foods.
Lakin hii ni kwa sisi tunaokaa Masaki na osterbay.🤗🤗🤗🤗
Ila mkuu nina mashaka na hii habari,Waogope sana watu wenye macho madogo. Siku mkaja kujichanganya wakaanzisha vita ndio itakua mwisho wa dunia. Dhulkarny au wengine wanamuita Alexander the great au Cyrus the great alikua ni mfalme mwenye hofu ya mungu aliyesafiri mpaka pembe ya dunia akakuta watu wenye kuongea lugha isiyofahamika. Akawajengea ukuta kuwalinda dhidi ya jamii ya watu ambao walikua wanafanya uharibifu kwenye dunia.wale jamaa walizungushiwa ukuta wa chuma kilichoyayushwa na kuchanganywa na silver au alloy. Wanaugogona ukuta ule siku wakiutoboa wakatoka hawachagui wanakula kila kilicho mbele yao.
Eti ni "drone za kawaida" wabongo kwa kurahisisha vitu hamjambo, kama unadhani ni za kawaida basi tukupe na wewe hizihizi za kawaida zinazopiga picha,uzipange hewani na kuunda taswira mbalimbali tuone kama utaweza.Ni drones za kawaida.
Sema zinaungishwa na system via internet na kusertiwa kufuata Geo location.
Kwahiyo zikifika sehem husika zinatulia au kufanya kitu kilichokusudiwa.
Mfano zile Drones za jana ni system imeziset kuwa kwa dk hii ikae position gan na ifanye nini (kuwasha taa au kuizima nk)
Kwahiyo system inawasha Drones hata 200 na system inaipanga kila drones ikae position gan na ifanye nini na kwa muda gan.
Ndio maana zinakaa kwa mpangilio na kufanya 3D images.
Zile sio kwamba watu walikuwa wanaziendesha kwa muda ule.
Ni system imeshaziset. Zenyewe zinafuata maelekezo. Na system inahakikisha Location haijirudii ili zisigongane na zikibadili position . Bas system ina set route mpya na kuhakikisha hazigongani.