Zama za mwisho wa dunia? Mchina aja na teknolojia hii

Hicho ki drone kikipita mitaani ya Tandale waswahili wanakibutua na manati
 
Ila mkuu nina mashaka na hii habari,
Nimesoma habari zake huyo dhulkarnain lakini Bado naona ni fix tu.
 
Eti ni "drone za kawaida" wabongo kwa kurahisisha vitu hamjambo, kama unadhani ni za kawaida basi tukupe na wewe hizihizi za kawaida zinazopiga picha,uzipange hewani na kuunda taswira mbalimbali tuone kama utaweza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…