Kukimbiza hicho kindege na kukimbiza tairi ilikua unajikuta umekimbia had 9Km bila kujua alaf unaenda na kurud sasa ukifika home unakimbilia ndoo ya maji unakunywa maj ya kutosha
Ukitoka hapo jioni unaenda kucheza mpira wa kufuma , alaf yule mnene kuliko wote anakua kipa, mwenye mpira akichoka au akikasirika mpira unaishia hapohapo, hakuna penalt had mtu atoke damu, Yan hata aumizwe katkat ya uwanja damu ikionekana tu ni penat, hakuna jez ila tunatambuana kwa sura tu au kutambuana wengine wanavua mashati wanacheza kifua wazi [emoji16]
Sahiv madogo wanacheza PlayStation mtt mdogo anakua na kitambi