Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Dah!Ingekuwa akili za siku hizi tungesema kuna mkono wa mtu.ππππHalafu kuna ile unaona cha mwenzako kinakubali mwendo ila cha kwako kinaenda kidogo kinasizi alooo hiyo mimbio utakayoichomoa
Magari ya makoa.
Maringi.
Magari ya maboksi.
Kombolela
Kuna ingine unakata pipe ya tawi la mpapai, kisha unaweka chelewa katikati, unamlenga mjusi kisha unapuliza, ila chelewa inatuka kama mshale inaenda kumchoma mjusi nafia hapo hapo π€£Kuna zile pipe za kwenye maboga tunazikata kisha tunatengeneza maji ya sabuni halafu unachova hicho kipaipu kisha unapuliza linatoka balloon na kupaa juu,tunafurahiii.
ππππππKuna ingine unakata pipe ya tawi la mpapai, kisha unaweka chelewa katikati, unamlenga mjusi kisha unapuliza, ila chelewa inatuka kama mshale inaenda kumchoma mjusi nafia hapo hapo π€£
Ebwana si mchezoππππ, mabunda ya mipapai sio ππ
Kumbe na wewe ni mhengaKishada
Hapo manati iko shingoni... njiwa akijipendekeza analoMagari ya makoa.
Maringi.
Magari ya maboksi.
Kombolela
We kibonde ujue naona unanikimbia kimbiaSawa sawa, naona umerudi kwenye michezo yako pendwa.
Bora umejua kujikita kwenye michezo unayoimudu.
We kibonde ujue naona unanikimbia kimbia
Tatizo siku hizi nipo kijijini mno nabahatisha mtandaoUko powa nikuvamie!
Tatizo siku hizi nipo kijijini mno nabahatisha mtandao
nakumichiKishada
Hiyo kwetu Arusha tunaita tiara. Kiingereza wanaita kite.Hiko siyo kishada.
Kishada ni magazeti/ manailoni yanatengenezwa kufuatisha umbo la ndubwi kwa kutumia chelewa kisha unafungwa uzi unakiacha kipepee, huku ule uzi unautumia kuchagua kukiongeza urefu au kupunguza.