Zamalek SC yapewa alama 3, Al Ahly hajatokea uwanjani kwenye Cairo derby

Zamalek SC yapewa alama 3, Al Ahly hajatokea uwanjani kwenye Cairo derby

The Legacy

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2022
Posts
5,879
Reaction score
11,318
Katika hali isiyo ya Kawaida Club ya soka huko nchini Misri, imetunukiwa Alama 3 na magoli 3 kwa sababu Team ya Al ahly haikutokea uwanjani

Club hiyo Yenye mafanikio makubwa barani Afrika imegomea mchezo kwa kigezo kuwa haina Imani na marefa watakaa chezesha. Mtanange huo na kuomba waletwe waamuzi wa kigeni
 
Attachments

  • IMG_6353.png
    IMG_6353.png
    835.1 KB · Views: 1
Maana halisi ya Viongozi wenye uweledi na wanaozingatia kanuni na miongozo ya Ligi. Hakua kanuni inayosema timu ikinyimwa kufanya mazoezi igomee mchezo, Peleka waamuzi, peleka match officials, timu itakayofika ipatiwe alama 3 na magoli matatu, FULLSTOP! Hiyo ndiyo KANUNI na HAKI
 
Lakini zamarek hawakutuma wahuni kwenda kuwafanyia fujo Al ahaly ili wasifanye mazoezi.
 
Hata wangetumwa, KANUNI zinasemaje?
Kanuni zinasema kabla ya mchezo ni lazima usalama uwepo kwa mashabiki na wachezaji,sasa nyinyi mkatuma wahuni kwenda kuhatarisha usalama wa wachezaji mlitegemea nini?
 
Back
Top Bottom