MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Umeandika UTUMBO mtupu! Unajua kazi ya maofisa usalama? Hapakuwa na official statement yeyote kutoka kwao kwamba kuna tishio la kiusalama uwanjani, Bali kulikuwa na report uchwara kutoka kwa makamishna kwamba mlitaka kwenda kuloga usiku mkazuiliwa. Suala la kiusalama linakuwa 'addressed' na barua rasmi kutoka vyombo vya usalama. NDIYO Caf walipokea report kutoka vyombo vya usalama sio Bodi ya Ligi wa TFFKwani caf walipo waadhibu Simba kwa mashabiki wao kufanya vurugu kwenye mchezo wa shirikisho walitaarifiwa na polisi?
Kitendo cha kutuma magenge yenu ya kihuni ni kuashilia tosha kuwa mlikuwa na dhamira ya kufanya vurugu hasa iwapo matokeo yataenda tofauti na matarajio yenu.Na ndio maana mchezo ukaahilishwa ili hawa wahuni wadhibitiwe kwanza yasije kutokea maafa.
Nyinyi mashabiki wa utopo wengi wenu mna akili za hovyo siku ile mmetolewa kwenye mashindano ya club bingwa hamkupiga shabiki wa simba mbele ya Ali kamwe?