Zamalek SC yapewa alama 3, Al Ahly hajatokea uwanjani kwenye Cairo derby

Zamalek SC yapewa alama 3, Al Ahly hajatokea uwanjani kwenye Cairo derby

Katika hali isiyo ya Kawaida Club ya soka huko nchini Misri, imetunukiwa Alama 3 na magoli 3 kwa sababu Team ya Al ahly haikutokea uwanjani

Club hiyo Yenye mafanikio makubwa barani Afrika imegomea mchezo kwa kigezo kuwa haina Imani na marefa watakaa chezesha. Mtanange huo na kuomba waletwe waamuzi wa kigeni
Al Ahly wapumbavu...
 
Lakini zamarek hawakutuma wahuni kwenda kuwafanyia fujo Al ahaly ili wasifanye mazoezi.
Mababu pamoja na mleta mada kukusaidia kuandika Zamalek lakini bado ukaandika Zamarek?

Huu mtaala upitiwe upya asee.
 
Kanuni zinasema kabla ya mchezo ni lazima usalama uwepo kwa mashabiki na wachezaji,sasa nyinyi mkatuma wahuni kwenda kuhatarisha usalama wa wachezaji mlitegemea nini?
Kanuni namba ngapi hiyo? Na dhabu yake ni ipi?
 
Katika hali isiyo ya Kawaida Club ya soka huko nchini Misri, imetunukiwa Alama 3 na magoli 3 kwa sababu Team ya Al ahly haikutokea uwanjani

Club hiyo Yenye mafanikio makubwa barani Afrika imegomea mchezo kwa kigezo kuwa haina Imani na marefa watakaa chezesha. Mtanange huo na kuomba waletwe waamuzi wa kigeni
Asante Mungu, tumeongeza precedents za kutumia kwenye case yetu Caf na FIFA. Hureeeeee
 
Kanuni zinasema kabla ya mchezo ni lazima usalama uwepo kwa mashabiki na wachezaji,sasa nyinyi mkatuma wahuni kwenda kuhatarisha usalama wa wachezaji mlitegemea nini?
Usalama haukuwepo? Kwamba kulikuwa na tishio la ugaidi, au kuna mtu aliyekuwa na silaha? Mwenye mamlaka ya kung'amua kuhusu usalama ni vyombo vya usalama tena baada ya kutoa ripoti, sio bodi ya Ligi! Bodi ya ligi na mambl ya usalana wapi na wapi?
 
Kanuni zinasema kabla ya mchezo ni lazima usalama uwepo kwa mashabiki na wachezaji,sasa nyinyi mkatuma wahuni kwenda kuhatarisha usalama wa wachezaji mlitegemea nini?
Hapa Mtani mlikimbia kipigo na si vinginevyo 😀 😀 😀 😀
 
Screenshot_20250312-090624~2.png
 
20250312_091657.jpg

Hili ni tamko / taarifa ya Zamalek SC wakidai kupatiwa ushindi baada ya mpinzani wake Al ahly SC kushindwa kutokea. Tafsiri👇

Statement

The Board of Directors of Zamalek Club, led by Captain Hussein Labeeb, has officially submitted a letter to the Egyptian Professional Clubs Association requesting to be awarded the points for the match against Al Ahly in the first round of the second phase of the Premier League.

Zamalek confirmed that the first football team adhered to the scheduled match time and went to the stadium, while the opposing team was absent.

Zamalek demanded the full implementation of the regulations, similar to what happened in the top match of the second round of the Premier League last season.

Match referee Mahmoud El-Banna officially canceled the game after 20 minutes due to the opponent’s failure to arrive at Cairo Stadium for the match.

____________________________
Taarifa

Baraza la Uongozi wa Klabu ya Zamalek, likiongozwa na Kapteni Hussein Labeeb, liliwasilisha rasmi barua kwa Shirikisho la Vilabu vya Soka vya Kipro, likidai pointi za mchezo wa Al Ahly katika raundi ya kwanza ya awamu ya pili ya Ligi Kuu.

Zamalek ilisisitiza kuwa timu ya mpira wa miguu ya kwanza ilizingatia tarehe iliyopangwa kwa mchezo na kuelekea uwanjani kwa ajili ya mechi, huku wapinzani wao wakikosekana.

Zamalek ilihitaji kutekelezwa kwa kanuni kikamilifu, sawa na kile kilichotokea kwenye mchezo wa awamu ya pili ya msimu uliopita wa Ligi Kuu.

Mwamuzi wa mechi, Mahmoud El-Banna, alifuta rasmi mchezo huo baada ya dakika 20 kupita kutokana na kutofika kwa timu pinzani kwenye Uwanja wa Cairo kwa ajili ya mechi.
 
Hapa Mtani mlikimbia kipigo na si vinginevyo 😀 😀 😀 😀
Kama mlikuwa na uhakika wa kushinda ni kwanini mlienda kuwafanyia fujo wachezaji?
Kwani msinge tuma wahuni wenu hao Simba ingepata kisingizio gani?
 
Usalama haukuwepo? Kwamba kulikuwa na tishio la ugaidi, au kuna mtu aliyekuwa na silaha? Mwenye mamlaka ya kung'amua kuhusu usalama ni vyombo vya usalama tena baada ya kutoa ripoti, sio bodi ya Ligi! Bodi ya ligi na mambl ya usalana wapi na wapi?
Kwani caf walipo waadhibu Simba kwa mashabiki wao kufanya vurugu kwenye mchezo wa shirikisho walitaarifiwa na polisi?
Kitendo cha kutuma magenge yenu ya kihuni ni kuashilia tosha kuwa mlikuwa na dhamira ya kufanya vurugu hasa iwapo matokeo yataenda tofauti na matarajio yenu.Na ndio maana mchezo ukaahilishwa ili hawa wahuni wadhibitiwe kwanza yasije kutokea maafa.
Nyinyi mashabiki wa utopo wengi wenu mna akili za hovyo siku ile mmetolewa kwenye mashindano ya club bingwa hamkupiga shabiki wa simba mbele ya Ali kamwe?
 
Lakini zamarek hawakutuma wahuni kwenda kuwafanyia fujo Al ahaly ili wasifanye mazoezi.
Sababu ya kitoto hii! Hao wahuni waliwafanyia fujo gani wachezaji wenu kiasi cha kususia mechi? Na mlitoa taarifa kwa nani kama mna ratiba ya kufanya mazoezi?

Si mseme tu ukweli mlipima kina cha maji, na baada ya kuhisi kuna hatari kubwa ya jahazi kuzama; mkaona mtafute kisingizio cha kususia!
 
Katika hali isiyo ya Kawaida Club ya soka huko nchini Misri, imetunukiwa Alama 3 na magoli 3 kwa sababu Team ya Al ahly haikutokea uwanjani

Club hiyo Yenye mafanikio makubwa barani Afrika imegomea mchezo kwa kigezo kuwa haina Imani na marefa watakaa chezesha. Mtanange huo na kuomba waletwe waamuzi wa kigeni
Huku kwetu gemu ipo palepale na ole wenu nyuma mwiko msitokee uwanjani siku ya mechi
 
Back
Top Bottom