The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 5,879
- 11,318
HaaaaaView attachment 3267220
Hapa bongo,Ngoja tuendelee kuupiga mwingi na mamma
Lakini zamarek hawakutuma wahuni kwenda kuwafanyia fujo Al ahaly ili wasifanye mazoezi.Maana halisi ya Viongozi wenye uweledi na wanaozingatia kanuni na miongozo ya Ligi. Hakua kanuni inayosema timu ikinyimwa kufanya mazoezi igomee mchezo, Peleka waamuzi, peleka match officials, timu itakayofika ipatiwe alama 3 na magoli matatu, FULLSTOP! Hiyo ndiyo KANUNI na HAKI
Lawama wapewe mabaunsaBadi ya ligi ya misri wapo makini mnoππ
Hata wangetumwa, KANUNI zinasemaje?Lakini zamarek hawakutuma wahuni kwenda kuwafanyia fujo Al ahaly ili wasifanye mazoezi.
ππ Naunga mkono hoja πLawama wapewe mabaunsa
Ile Game Simba tulikua tunakufa ujue,ππ Naunga mkono hoja π
ππMlikuwa mnapigwa 5Ile Game Simba tulikua tunakufa ujue,
Tano nyingi ila mlikua mnatufunga kabisaππMlikuwa mnapigwa 5
Sema siku ile nimepata hasara sana nimebeba wadau tumefika uwanjani nasubiria game dah π sema ngoja tuone mechi ijayo itakuwajeTano nyingi ila mlikua mnatufunga kabisa
Kanuni zinasema kabla ya mchezo ni lazima usalama uwepo kwa mashabiki na wachezaji,sasa nyinyi mkatuma wahuni kwenda kuhatarisha usalama wa wachezaji mlitegemea nini?Hata wangetumwa, KANUNI zinasemaje?