Zamalek SC yapewa alama 3, Al Ahly hajatokea uwanjani kwenye Cairo derby

Umeandika UTUMBO mtupu! Unajua kazi ya maofisa usalama? Hapakuwa na official statement yeyote kutoka kwao kwamba kuna tishio la kiusalama uwanjani, Bali kulikuwa na report uchwara kutoka kwa makamishna kwamba mlitaka kwenda kuloga usiku mkazuiliwa. Suala la kiusalama linakuwa 'addressed' na barua rasmi kutoka vyombo vya usalama. NDIYO Caf walipokea report kutoka vyombo vya usalama sio Bodi ya Ligi wa TFF
 
ole wenu gemu ijayo msitokee uwanjani mnyama anachukua hizo pointi
 
Zamalek 3-0 Aly al ft nikajua walicheza kumbe waungwana hawakutokea uwanjani🀣
 
Kitu Bado haijaamuliwa
 
Hapa umeongea ukweli! Na kama uliangalia mechi ya jana dhidi ya TMA, ndiyo utagundua wazi Simba bado mnajitafuta uwanjani.
Game TMA sio kigezo,angalia unacheza na nani, usitegemee maandalizi ya mechi Na TMA yawe sawa na mechi na Yanga.

Kama umenifunga mara 4 unaogopa nni kuniruhusu kufanya mazoezi
 
Game TMA sio kigezo,angalia unacheza na nani, usitegemee maandalizi ya mechi Na TMA yawe sawa na mechi na Yanga.

Kama umenifunga mara 4 unaogopa nni kuniruhusu kufanya mazoezi
Kwa hiyo ungefanya mazoezi ile siku ya mwisho ndiyo ungepata nguvu ya kutokufungwa kwa mara ya 5 mfululizo! 😁
 
Kwa timu gani mliyo nayo, au ndo hii iliyo shidwa kupenya kwenye kundi dhaifu la club bingwa?
 
Huna chochote unacho kijua anaye ripoti matukio ya mchezo husika huwa ni kamishina wa mchezo husika na sio polisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…