Papillon 1906
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 228
- 753
Zamalek waipa vitisho shirikisho la soka barani afrika CAF kama watahidhinisha Al Ahly fc kushiriki mashindano ya klablu bingwa afrika mara baada ya kuwepo kwa taarifa ya kutaka kuongeza timu shiriki.
Ikumbukwe Al Ahly ameangukia katika michuano ya shirikisho ya CAF mara baada ya kufanya vibaya katika ligi msimu uliopita wa 2025/26.
#micky jnr
Ikumbukwe Al Ahly ameangukia katika michuano ya shirikisho ya CAF mara baada ya kufanya vibaya katika ligi msimu uliopita wa 2025/26.
#micky jnr