Papillon 1906
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 228
- 753
Mie nadhani wajitoe tu ili na timu zingine mpya pia wapate nafasi ya kushiriki michuano hiyo muhimu barani Africa ๐Zamalek waipa vitisho shirikisho la soka barani afrika CAF kama watahidhinisha Al Ahly fc kushiriki mashindano ya klablu bingwa afrika mara baada ya kuwepo kwa taarifa ya kutaka kuongeza timu shiriki.
Ikumbukwe Al Ahly ameangukia katika michuano ya shirikisho ya CAF mara baada ya kufanya vibaya katika ligi msimu uliopita wa 2025/26.
#micky jnr
View attachment 3634658
Caf waeke udashiCAF acheni mambo ya kijinga
Tafsri kwa Kiingereza iwafikie...
CAF stop this nonsense.
Senegal kwani kashapokonywa ubingwaCaf wezi wapigaji wamekutana na infantino muda wote wanaweza Hela tu na kuwatepeli watu
Kwanza Kwa kile ambacho caf waliwafanyia Senegal, team za Africa zilipaswa kuandamana motsepe ajiuzuru lakini ndio vile Tena miafrica inawaza bribe tu , muda wizi
Walivimba ๐๐so I think issue ili Isha tu kimya kimya Kwa kuwaachia kombe lao , ila caf waliwavua ubingwaSenegal kwani kashapokonywa ubingwa