Zamani bongo ukinunua vyakula kwa jumla watu wanakushangaa

Busu la Kenge

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2025
Posts
2,583
Reaction score
4,776
Zamani bongo ukinunua vyakula kwa jumla kwa nia ya kubana matumizi watu wanashangaa na kukuuliza unanunua vyote hivyo kwani Tanzania kuna vita?

Baada ya tarehe 29October mambo yamebadilika sana na hasa sasa hivi tunapoelekea 9D watu watanunua na kuhifadhi vyakula kwa wingi na jumla hasa Unga sembe/ngano, jamii ya kunde maharage, mafuta ya kula ndoo, dagaa, chumvi, sukari, maji ya chupa, nyama na kubanika na kukausha, samaki, viazi, pia vyakula vya kopo, mkaa na kuni.

Ila waswahili bana eti kwani kuna vita? Yani hata ukioga mchana tu unaulizwa unakwenda wapi?
 
Sitakuja kusahau ya siku ya 29 October ilinikuta nina vitungu 5kg tu ndani sina kitu kingine pesa ninao ila pakununua hamna......ila tulisurvive Mungu mwema
 
Poleni sana mliokuwa Dar. Kimsingi, mtu yeyote ungeweza kuuawa muda wowote. Kuna wenye watoto wanahitaji vyakula na matibabu. Kuna wenye kuhitaji matibabu ya dharura sana na wajawazito. Yaani kuna vitu chungu nzima vingeweza kukutoa nje, na ukikutana nao unapigwa risasi. Samia hafai kabisa kuendelea kuwa rais.
 
Zamani bongo ukinunua vyakula kwa jumla kwa nia ya kubana matumizi watu wanashangaa na kukuuliza unanunua vyote hivyo kwani Tanzania kuna vita?

Baada ya tarehe 29October mambo yamebadilika sana na hasa sasa hivi tunapoelekea 9D watu watanunua na kuhifadhi vyakula kwa wingi na jumla hasa Unga sembe/ngano, jamii ya kunde maharage, mafuta ya kula ndoo, dagaa, chumvi, sukari, maji ya chupa, nyama na kubanika na kukausha, samaki, viazi, pia vyakula vya kopo, mkaa na kuni.

Ila waswahili bana eti kwani kuna vita? Yani hata ukioga mchana tu unaulizwa unakwenda wapi?
Ni vizuri sana unaponunua vyakula vya dharura kama wakati wa vita ununue kwa plan. 1. Vyakula visivyoharibika haraka. 2. Rahisi kutayarisha na havihitaji nishati kubwa. 3. Mkaa, kuni na gesi. 4. Vyakula vya makopo na vitu kama tambi, nafaka bila kusahau tochi, viberiti na huduma ya kwanza na dawa za dharura.
 
We dogo Busu la Kenge unavosema zamani unamaanisha miaka ipi?
Screenshot_20251105_172516_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom