Zamani ilikua hatuwezi kutengeneza hii....sasa sijui kama wakati huu wa viwanda tunaweza tengeneza hii kitu.

Alafu zilikuwa ngumu sio sasa hivi zinayeyuka kwenye meno ukitafuna (ila mdau tegemea kuulizwa bazoka ni nini)

Zile jojo zilikua kiwango, kweli utamu ulikua unapotea lakini zilikua na harufu moja amazing.

Ah! Unajua kumbe viwanda vimeanza zamani. Tulikua tunatengeneza hizo BigG ukame ukizidi, unachoma ile mipira (tube) ya baiskeli ikilainika unatafuna umemaluza biashara.

Ashukuriwe Mungu magonjwa ya kitajiri hayakuwepo wakati ule, saratani ingeshatufyeka kitambo.
 
hahahahahaaaa we jamaa bhana.....yn unachoma mpira ndo uneigeuza bazoka??? turudishie chenji bhana [emoji23][emoji23]
 
Zile jojo zilikua kiwango, kweli utamu ulikua unapotea lakini zilikua na harufu moja amazing.

Ah! Unajua kumbe viwanda vimeanza zamani. Tulikua tunatengeneza hizo BigG ukame ukizidi, unachoma ile mipira (tube) ya baiskeli ikilainika unatafuna umemaluza biashara.

Ashukuriwe Mungu magonjwa ya kitajiri hayakuwepo wakati ule, saratani ingeshatufyeka kitambo.
Hivi bigG bado zipo?sijaziona kitambo.
Wavuta sigara walikuwa wanazipenda sana zile
 
Sam nini lakini[emoji23][emoji23]
Kwani kumiliki hiyo kitu ilikuwa anasa?

Unajua nikiendelea kuandika hapa watu watasema natia chumvi...hivi unasoma shule ambayo uniform ni anasa, mtoto kuja shule kifua wazi kawaida sana. Wanafunzi hauwezi kujua ni wakimbizi au wanamgambo kwa jinsi tulivyopauka na kukosa sare...sasa mazingira kama hayo unafikiria kumiliki kamfuko ka aina hiyo utawahi hata kuota?

Ilikua lazima uwe Geti kali tena LY mwenye ndugu dizim. Nyie acheni tu.
 
Watoto wa geti kali utawajua tu. Yaani enzi hizo sie bazoka ikitemwa unaiokota unapangusa mchanga unaendeleza ku show game. Nyie tayari mlikua mnamiliki vitu vya anasa kiasi hicho?

Kwanza kijijini ndani ndani huko ukiokoteza mahindibaada ya watu kuvuna ndio unaenda kununua kandambili za bora, unazivaa jumapili tu, ukirudi unazisuuza unazisunda uvunguniiii zisije kuibiwa hapo ni hadi okesheni nyingine.
Hahaa..
Mimi nilikuwa nacho hicho naweka boksi la Big G a.k.a bublish, a.k.a Jojo, a.k.a bubble gum pamoja na fuko la pipi nauza shuleni.
Madaftari naweka ktk rasket niliachiwa na bro wangu nae aliachiwa na bro wetu mwingine. Rasket nyekundu ya kijanja sana ni kama backpack hizi za kisasa lakini pale juu hakuna zip kuna kamba unavuta na kufunga kwa lock ya plastiki yenye spring kama huo mkoba wa adidas la kichina lakini juu yake ndio panafunikwa na kitamaa flani amazing. Zip zilikuwa mifuko mmidogo ya pembeni.

Hiyo ilikuwa miaka ya tisini mwanzoni hadi katikati.
 
Nimeshasema hapa nikiongea mtasema nawaibia. Viwanda tumeanza kitambo sema hawatutambui tu. Local Big G, tatizo zilikua nyeusi. Alafu ukianza kuitafuna pale mwanzoni mate meusiiiiii
hahahaa sasa hapo nimekuelewa mana mi mwenyew nimetafuna sana manati aisee
 
Unajua nikiendelea kuandika hapa watu watasema natia chumvi...hivi unasoma shule ambayo uniform ni anasa, mtoto kuja shule kifua wazi kawaida sana. Wanafunzi hauwezi kujua ni wakimbizi au wanamgambo kwa jinsi tulivyopauka na kukosa sare...sasa mazingira kama hayo unafikiria kumiliki kamfuko ka aina hiyo utawahi hata kuota?

Ilikua lazima uwe Geti kali tena LY mwenye ndugu dizim. Nyie acheni tu.
Akiii umenichekesha ujue hahaa
 
Hahaa..
Mimi nilikuwa nacho hicho naweka boksi la Big G a.k.a bublish, a.k.a Jojo, a.k.a bubble gum pamoja na fuko la pipi nauza shuleni.
Madaftari naweka ktk rasket niliachiwa na bro wangu nae aliachiwa na bro wetu mwingine. Rasket nyekundu ya kijanja sana ni kama backpack hizi za kisasa lakini pale juu hakuna zip kuna kamba unavuta na kufunga kwa lock ya plastiki yenye spring kama huo mkoba wa adidas la kichina lakini juu yake ndio panafunikwa na kitamaa flani amazing. Zip zilikuwa mifuko mmidogo ya pembeni.

Hiyo ilikuwa miaka ya tisini mwanzoni hadi katikati.

Kumiliki hicho kibegi tu unaibua mwali.
 
Nimeshasema hapa nikiongea mtasema nawaibia. Viwanda tumeanza kitambo sema hawatutambui tu. Local Big G, tatizo zilikua nyeusi. Alafu ukianza kuitafuna pale mwanzoni mate meusiiiiii
Aisee...
 
Back
Top Bottom