Zamani ilikua hatuwezi kutengeneza hii....sasa sijui kama wakati huu wa viwanda tunaweza tengeneza hii kitu.

Zamani ilikua hatuwezi kutengeneza hii....sasa sijui kama wakati huu wa viwanda tunaweza tengeneza hii kitu.

Zile jojo zilikua kiwango, kweli utamu ulikua unapotea lakini zilikua na harufu moja amazing.

Ah! Unajua kumbe viwanda vimeanza zamani. Tulikua tunatengeneza hizo BigG ukame ukizidi, unachoma ile mipira (tube) ya baiskeli ikilainika unatafuna umemaluza biashara.

Ashukuriwe Mungu magonjwa ya kitajiri hayakuwepo wakati ule, saratani ingeshatufyeka kitambo.
Kiwango cha juu sana yaani acha kabisa...siku hizi kila kitu ovyo, those days kama utakunywa soda let say Coca yaani unai-feel kabisa mdomoni na puani ile gas flani na ladha flani bomba, hali kadhalika ukinywa fanta ile ladha ya orange unaisikia.....hapo bado hujanywa Orange squash (unaichanganya na maji).
 
Back
Top Bottom