ikhatibu
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 2,449
- 2,409
Zipo ila feki. Za zamani zilikuwa tamu kwa kulia gombaHivi bigG bado zipo?sijaziona kitambo.
Wavuta sigara walikuwa wanazipenda sana zile
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zipo ila feki. Za zamani zilikuwa tamu kwa kulia gombaHivi bigG bado zipo?sijaziona kitambo.
Wavuta sigara walikuwa wanazipenda sana zile
Kiwango cha juu sana yaani acha kabisa...siku hizi kila kitu ovyo, those days kama utakunywa soda let say Coca yaani unai-feel kabisa mdomoni na puani ile gas flani na ladha flani bomba, hali kadhalika ukinywa fanta ile ladha ya orange unaisikia.....hapo bado hujanywa Orange squash (unaichanganya na maji).Zile jojo zilikua kiwango, kweli utamu ulikua unapotea lakini zilikua na harufu moja amazing.
Ah! Unajua kumbe viwanda vimeanza zamani. Tulikua tunatengeneza hizo BigG ukame ukizidi, unachoma ile mipira (tube) ya baiskeli ikilainika unatafuna umemaluza biashara.
Ashukuriwe Mungu magonjwa ya kitajiri hayakuwepo wakati ule, saratani ingeshatufyeka kitambo.
Hizo zimebaki jina tu, zina lada inayofanana na BIG Gupo mkoa gani mkuu huku kanda kaskazini tunalia gati (mrungi)