Zamani jina la Mgombea kiti cha Uspika lilikuwa mjadala kusubiri Moshi mweupe, Leo hii hata CCM hawataki kujadili kama agenda wamemwachia Mwenyekiti

Zamani ulikuwa ni ushamba tu na kujitia uzalendo njaa tu ukiachilia mbali uhaba na ulasimu wa vyombo vya habari

USSR
Utakuwa wewe ndio MSHAMBA[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Aliyetangulia kaburini ndo kaacha mazongezonge yote haya. Alidhibiti chama,akadhibiti serikali,akadhibiti media,akadhibiti vyombo vya usalama,wanaharakati mahakama bunge hilo ndo husiseme. Kwa hali hiyo bado hata hawa waliopo sasa wanatembelea humo mana yameshakuwa mazoea na mbaya zaidi hata akili za wanachama toka kipindi kile bado zimelala mana Ile hali waliyopitia kipindi kile mpaka sasa bado hawajarudi katika hali zao za kawaida. CCM inazidi kutupotezs kiukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…