Kwa hali inavyoendelea hapo klabuni kwetu naona kuanzia wachezaji mpaka viongozi hakuna anayejali wala kujivunia Yanga. Sasa tunafungwa hovyo hovyo na timu za
kawaida kabisa tena mfululizo. Hakuna anayejali. Afadhali wangeshuka daraja kabisa *****..... No spirit, no fight, no hunger. Yanga hii nembo ya uhuru na taifa kweli?...khaaaahhhh.

Mimi nalalamikia tunavyopoteza kijinga jinga...basi. Sijasema kukosa ubingwa babu. Mi YASC wa kudumu.Wewe huwezi kuwa mshabiki wa Yanga hata siku moja, kukosa ubingwa ndani ya msimu mmoja ndio uanze kulialia kama mtoto aliyenyimwa pipi, zamani ipi unayoizungumzia wewe mwenzentu ?
Wenzetu Mbumbumbu toka 2011 hawajabeba ubingwa ndio wamekuja kubeba 2018.
Nyie ndio mnaojinyonga timu zenu zikifungwa.
Mie ni babu si kijana....Usijivunje moyo kijana, Yanga si timu ya maana, ni sawa tu na timu zingine za Premier League. Miaka yote walikuwa wanabebwa tu. Kama TFF wakiwa makini na marefa wao usije kushangaza both Simba na Yanga zinashuka daraja. Zenyewe ni timu kongwe hapa nchini ila si bora kama wananchi wengi wanavyofikiria, just angalia uchezaji wao then linganisha na vipaji kama vile Ndanda, Singida United, Mbeya City....hapa ndipo utashangaa kwanini hizi timu kongwe si lolote si chochote.
Mie ni babu si kijana....
Hahaaaa. Na wanasema pia kuku akitaga yai moja basi anakuwa na kelele saaana.Wagumba wakizaa, Kila mtu atajua tu, Na mtaa hautakalika kwa taarabu & singeli.
Hahaaaaa. Uko sahihi kabisa Mkuu.Wewe huwezi kuwa mshabiki wa Yanga hata siku moja, kukosa ubingwa ndani ya msimu mmoja ndio uanze kulialia kama mtoto aliyenyimwa pipi, zamani ipi unayoizungumzia wewe mwenzentu ?
Wenzetu Mbumbumbu toka 2011 hawajabeba ubingwa ndio wamekuja kubeba 2018.
Nyie ndio mnaojinyonga timu zenu zikifungwa.
Yaani sijui wana shida gani aiseeee.Kukosa ubingwa mara moja baada ya kutwaa mara tatu mfulilizo imekuwa nongwa?
Ligi ina timu ngapi? Tukubali na wengine watashinda tu
Timu gani bora iliyo mkoani kwa mfano?Basi kama ni babu utakuwa una mazoea ya kishabiki tu kushabikia hizi timu zilizopitwa na wakati. Umeshawahi kushuhudia timu za mikoani ukiondoa hizi timu tata za wanaume wa Dar (Simba na Yanga)? Timu bora ziko mikoani.