Zamani kuchezea Yanga SC ilikuwa heshima na ufahari

Ulimakafu

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Posts
31,248
Reaction score
13,244
Kwa hali inavyoendelea hapo klabuni kwetu naona kuanzia wachezaji, benchi la ufundi mpaka viongozi hakuna anayejali wala kujivunia Yanga. Sasa tunafungwa hovyo hovyo na timu za kawaida kabisa tena mfululizo.

Hakuna anayejali. Katika mechi tisa zilizopita za mashindano Yanga imepoteza mechi sita, sare mbili na kushinda moja. Hii Yanga kweli timu ya wananchi?? Kweli?? Afadhali wangeshuka daraja kabisa..... No spirit, no fight, no hunger. Yanga hii nembo ya uhuru na taifa hili... kweli inakuwa hivi?...khaaaahhhh.
 
Akilimali oyeeeeeeeee! Huyu mzee ni jembe sana. Namtakia maisha marefu yeye na wazeee wa yanga wa dizaini yake.
 
Kwa hali inavyoendelea hapo klabuni kwetu naona kuanzia wachezaji mpaka viongozi hakuna anayejali wala kujivunia Yanga. Sasa tunafungwa hovyo hovyo na timu za
kawaida kabisa tena mfululizo. Hakuna anayejali. Afadhali wangeshuka daraja kabisa *****..... No spirit, no fight, no hunger. Yanga hii nembo ya uhuru na taifa kweli?...khaaaahhhh.

Wewe huwezi kuwa mshabiki wa Yanga hata siku moja, kukosa ubingwa ndani ya msimu mmoja ndio uanze kulialia kama mtoto aliyenyimwa pipi, zamani ipi unayoizungumzia wewe mwenzentu ?

Wenzetu Mbumbumbu toka 2011 hawajabeba ubingwa ndio wamekuja kubeba 2018.

Nyie ndio mnaojinyonga timu zenu zikifungwa.
 
Usijivunje moyo kijana, Yanga si timu ya maana, ni sawa tu na timu zingine za Premier League. Miaka yote walikuwa wanabebwa tu. Kama TFF wakiwa makini na marefa wao usije kushangaza both Simba na Yanga zinashuka daraja. Zenyewe ni timu kongwe hapa nchini ila si bora kama wananchi wengi wanavyofikiria, just angalia uchezaji wao then linganisha na vipaji kama vile Ndanda, Singida United, Mbeya City....hapa ndipo utashangaa kwanini hizi timu kongwe si lolote si chochote.
 
Mimi nalalamikia tunavyopoteza kijinga jinga...basi. Sijasema kukosa ubingwa babu. Mi YASC wa kudumu.
 
Usijivunje moyo kijana, Yanga si timu ya maana, ni sawa tu na timu zingine za Premier League. Miaka yote walikuwa wanabebwa tu. Kama TFF wakiwa makini na marefa wao usije kushangaza both Simba na Yanga zinashuka daraja. Zenyewe ni timu kongwe hapa nchini ila si bora kama wananchi wengi wanavyofikiria, just angalia uchezaji wao then linganisha na vipaji kama vile Ndanda, Singida United, Mbeya City....hapa ndipo utashangaa kwanini hizi timu kongwe si lolote si chochote.
Mie ni babu si kijana....
 
Kukosa ubingwa mara moja baada ya kutwaa mara tatu mfulilizo imekuwa nongwa?
Ligi ina timu ngapi? Tukubali na wengine watashinda tu
Nimezungumzia tunavyopoteza mechi nyingi mfululizo tena hovyo hovyo. Hii si kiwango cha Yanga.
 
Mie ni babu si kijana....

Basi kama ni babu utakuwa una mazoea ya kishabiki tu kushabikia hizi timu zilizopitwa na wakati. Umeshawahi kushuhudia timu za mikoani ukiondoa hizi timu tata za wanaume wa Dar (Simba na Yanga)? Timu bora ziko mikoani.
 
Wewe huwezi kuwa mshabiki wa Yanga hata siku moja, kukosa ubingwa ndani ya msimu mmoja ndio uanze kulialia kama mtoto aliyenyimwa pipi, zamani ipi unayoizungumzia wewe mwenzentu ?

Wenzetu Mbumbumbu toka 2011 hawajabeba ubingwa ndio wamekuja kubeba 2018.

Nyie ndio mnaojinyonga timu zenu zikifungwa.
Hahaaaaa. Uko sahihi kabisa Mkuu.

Na hawa ndio wale waliokuwa wanazimia kila kukicha Mkuu.
 
Kukosa ubingwa mara moja baada ya kutwaa mara tatu mfulilizo imekuwa nongwa?
Ligi ina timu ngapi? Tukubali na wengine watashinda tu
Yaani sijui wana shida gani aiseeee.

Ndio hapo sasa ligi ina timu 16 na inatakiwa wajue hata wao huenda Msimu ujao ubingwa wakaukosa vile vile.
 
Basi kama ni babu utakuwa una mazoea ya kishabiki tu kushabikia hizi timu zilizopitwa na wakati. Umeshawahi kushuhudia timu za mikoani ukiondoa hizi timu tata za wanaume wa Dar (Simba na Yanga)? Timu bora ziko mikoani.
Timu gani bora iliyo mkoani kwa mfano?
 
Back
Top Bottom