Zamani nilidhani wasaidizi wa Rais ni most senior officials hadi pale nilipoona wanateuliwa kuwa wakurugenzi na wakuu wa Wilaya

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Hapo zama za kale niliamini kwamba unapoteuliwa kuwa msaidizi wa Mh. Rais basi wewe umepanda cheo na ni kiongozi mkubwa sana kwenye mfumo wa utumishi wa umma.

Mabadiliko yaliyowaondoa Ikulu akina Zuhura na Magoti sambamba na wengine wengi yamenifanya nibadili fikra kwenye hizi nafasi za umma.

Waliotenguliwa Ikulu wengi wamepewa nafasi ya ukuu wa Wilaya, DAS na RAS ambazo si nafasi za maamuzi makubwa au nafasi kubwa kwenye utumishi wa umma. Baadhi wamepewa ukatibu mkuu Msaidizi na wengine wamekwenda kupangiwa kazi maeneo mengine

Je, mfumo huu wa kutengua na kupangia watumishi wa umma unatengenezaje seniority? Kiongozi wa ngazi ya juu serikali ambaye hakuna namna yakumshushia hadhi ni nani?

Je wakuu wa vyombo vya usalama nao wakitumbuliwa hawawezi kupangia majukumu ya ukuu wa Wilaya, Mkoa, Karibu tawala na naibu KATIBU Mkuu? Je, kuna sheria au kanuni zinaroratibu hizi posts serikalini?
 
Utumishi wa umma ni popote kuna ngazi za uteuzi ukifika unazunguka humohumo tu..
 
Huko kwenye senior officers umeenda mbali sana, zamani nilijua ni watu wenye uwezo mkubwa sana vichwani. Kumbe wamejaa akili ndogo wengi tu. Pumba
 
Wenye akili hawatakiwi Tanzania.ndo maana wazungu wanajiandaa kuhama hii dunia sisi tunakazania ushuru wa vyoo...kwa ufupi tumepotea lakini wakulaumiwa ni wananchii wote.
 
Hata mimi nilidhani hivyo, hadi pale nilipoona Waziri Salum akitoka kwenye udalali na kuwa nyuma ya rais.
 
Mimi nikiangalia wale akina Che Guevara na wengineo nilikua najua wapinzani huwa ni watu wazalendo mno, wapambanaji na wenye malengo makubwa ya kuyakomboa mataifa yao.

Kumbe sisi tumekosea bwana.

Tuna wapokea Ruzuku tu na kuzitafuna, malengo yao hasa hasa ni kuwa wabunge tu.
 
Mimi zamani nilijua rais ana akili nyingi sana na ni mzalendo lakini nimejionea awamu ya sita imenifanya nibadili fikra zangu
Unapokuwa na uwezo mdogo wa kufikiri huwezi jificha hata kidogo aisee ,hivi kwani ni laIma uandike humu ?jionee huruma hata kidogo basi.SHAME
 
Back
Top Bottom