Zamani nilikuwa namshangaa mtu aliyefanikiwa kimaisha na hasaidii ndugu zake, Leo mimi natamani hata kuwapiga Risasi


Naomba kuunga mkono hoja
 

Yamenikuta mimi ayo mpk leo kwa sehemu kubwa za ndugu zangu siongei nao
 
Niliwahi kuandika Uzi hapa ukufanikiwa kaa mbali kabisa na masikini. Umasikini NI pepo chafu Sana.

Ndugu yangu ni mama angu na watoto wangu .
 
kumbe wahanga tupo wengi, nilikua na moyo wakusaidia sana awali nilitamani kila ndugu afike nilipo au zaidi bt yalonifika kwa hicho kihere here changu yamenifanya kua na majuto na stress zisizo na mwisho, hakika ndugu ndo maadui wa kwanza maishani mwetu japo kamwe hawadhihirishi machoni petu.
 
Nenda mbele, rudi nyuma. Wasaidie ndugu upande wa mama. Thank me later!
 
Ila hayo matatizo sio kwa wote wengine wanatamani ndugu wangekua wengi zaidi kwa mshikamano waliokua nao na hao wapo kimya wengi ni wale wachache waliofanikiwa kidogo katika familia zetu hizi kila kukicha wanapiga mbiu ya kusaidia ndugu...wapo wengine wapo imara sana sana
 
Watu wema sana kwako ni watoto wako na mama yako mzazi tu..isipokua watoto nao hakikisha umewalea katika maadili mema sana maana hata wao wanaweza kukuondoa ili wabaki na mali yako,hasa watoto wa kiume

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
 

Mtu yeyote anaeruka usiku kwa maana ya mchawi yeyote asiyemchawi ni chakula kwake, beware mchawi ndugu ni hatari zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…