Zamani sie watu wa mikoani asilimia kubwa tulikuwa tunajua hawa jamaa wanaishi Dar.

Walipotelea kwenye Gazeti la Sani, mana kipindi kile wali trend sana sani ilipokuwa kama kijarida na sio Gazeti complete.
aisee ni kitambo sana hawa jamaa hata kama ulikuwa hujui kusoma lakin kwa vituko vyao ni full kicheko
 
sana mkuu hawa watu ni kama walikuwa wana exist nakumbuka kipindi nasoma ndugu wakija kututembelea walitufungashia majarida ya sani ya kutosha kama ya miezi miwili au mitatu hivi, hivyo lazima nipitie segment za hao watu Ndumilakuwili, njomba nchumari, harakati za pimbi, sokomoko, kipepe, zena na betina etc na hadithi za sultan Tamba (kama sijakosea)
 
Walipotelea kwenye Gazeti la Sani, mana kipindi kile wali trend sana sani ilipokuwa kama kijarida na sio Gazeti complete.
Hizo katuni kwenye gazeti la sani kama wangeendeleza na kuzifanyia animation kabisa wangepiga hela sana maana hata movies za marvel cinematic universe (MCU) zilianza kutokana na concept za marehemu Stan Lee
 
dah hatari sana kuna wale wazee wa soka bush stars na wa town aisee ilkuwa ni hatari wakikutana.vipi kuhusu wale madogo mapacha unawakumbuka??
 
kwel kabsa.sijui kiliwakumbuka nini waandishi wake mpaka wakapoteana.
 
Hizo katuni kwenye gazeti la sani kama wangeendeleza na kuzifanyia animation kabisa wangepiga hela sana maana hata movies za marvel cinematic universe (MCU) zilianza kutokana na concept za marehemu Stan Lee
Well said mkuu na ubunifu huu ndio walioukosa.
 
dah hatari sana kuna wale wazee wa soka bush stars na wa town aisee ilkuwa ni hatari wakikutana.vipi kuhusu wale madogo mapacha unawakumbuka??
Daaah. umenikumbusha wale pasua kichwa wenye vichogo kama Madenge, wamefanana sana na mdingi wao.
 
Shkamoo mhenga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…