Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walipotelea kwenye Gazeti la Sani, mana kipindi kile wali trend sana sani ilipokuwa kama kijarida na sio Gazeti complete.sijui walipolea wapi hawa jamaa.
sana mkuu hawa watu ni kama walikuwa wana exist nakumbuka kipindi nasoma ndugu wakija kututembelea walitufungashia majarida ya sani ya kutosha kama ya miezi miwili au mitatu hivi, hivyo lazima nipitie segment za hao watu Ndumilakuwili, njomba nchumari, harakati za pimbi, sokomoko, kipepe, zena na betina etc na hadithi za sultan Tamba (kama sijakosea)aisee ni kitambo sana hawa jamaa hata kama ulikuwa hujui kusoma lakin kwa vituko vyao ni full kicheko
Hizo katuni kwenye gazeti la sani kama wangeendeleza na kuzifanyia animation kabisa wangepiga hela sana maana hata movies za marvel cinematic universe (MCU) zilianza kutokana na concept za marehemu Stan LeeWalipotelea kwenye Gazeti la Sani, mana kipindi kile wali trend sana sani ilipokuwa kama kijarida na sio Gazeti complete.
dah hatari sana kuna wale wazee wa soka bush stars na wa town aisee ilkuwa ni hatari wakikutana.vipi kuhusu wale madogo mapacha unawakumbuka??sana mkuu hawa watu ni kama walikuwa wana exist nakumbuka kipindi nasoma ndugu wakija kututembelea walitufungashia majarida ya sani ya kutosha kama ya miwili mitatu hivi, hivyo lazima nipitie segment za hao watu Ndumilakuwili, njomba nchumari, harakati za pimbi, sokomoko, kipepe, zena na betina etc na hadithi za sultan Tamba (kama sijakosea)
Ndio hujakosea hawa jamaa wanakaa dar,mapipa.sijui walipolea wapi hawa jamaa.
kwel kabsa.sijui kiliwakumbuka nini waandishi wake mpaka wakapoteana.Hizo katuni kwenye gazeti la sani kama wangeendeleza na kuzifanyia animation kabisa wangepiga hela sana maana hata movies za marvel cinematic universe (MCU) zilianza kutokana na concept za marehemu Stan Lee
Madenge anakaa buguruni kwa binti madenge paleNdio hujakosea hawa jamaa wanakaa dar,mapipa.
Well said mkuu na ubunifu huu ndio walioukosa.Hizo katuni kwenye gazeti la sani kama wangeendeleza na kuzifanyia animation kabisa wangepiga hela sana maana hata movies za marvel cinematic universe (MCU) zilianza kutokana na concept za marehemu Stan Lee
Daaah. umenikumbusha wale pasua kichwa wenye vichogo kama Madenge, wamefanana sana na mdingi wao.dah hatari sana kuna wale wazee wa soka bush stars na wa town aisee ilkuwa ni hatari wakikutana.vipi kuhusu wale madogo mapacha unawakumbuka??
Sure Say,, tulijua ni BongoDalesamsijui walipolea wapi hawa jamaa.
Shkamoo mhengasana mkuu hawa watu ni kama walikuwa wana exist nakumbuka kipindi nasoma ndugu wakija kututembelea walitufungashia majarida ya sani ya kutosha kama ya miwili miwili au mitatu hivi, hivyo lazima nipitie segment za hao watu Ndumilakuwili, njomba nchumari, harakati za pimbi, sokomoko, kipepe, zena na betina etc na hadithi za sultan Tamba (kama sijakosea)
At least mtu anaweza kununua franchise na kuendeleza the idea wakapata fedha. It's still worth millionsWell said mkuu na ubunifu huu ndio walioukosa.
What if wakuiza right au kugawana ili waendeleze kianimation zaidi?kwel kabsa.sijui kiliwakumbuka nini waandishi wake mpaka wakapoteana.