Hao ni kina Nani?sijui walipolea wapi hawa jamaa.
Sokomoko alirudi kijijini kwao mwanalumango baada ya nyumba yako kuvunjwa pale magomeni kotaNdio hujakosea hawa jamaa wanakaa dar,mapipa.
Wimbi la kitintale palitikisa fikra zangu nikawa kama natizama movie. Mayuku mpambe wa mzee Ole alikua akishusha mkong'oto wa maana ila alikua akikalishwa sana na kina Obi na Linda. Ilinichukua muda kuamini kuwa jarida la sani limepotea.Bob Mazish, Mzee Meco, Mzee Ole, Mayuku, Zena, Betina, Mwinyi mpeku, Linda, Oby n.k.Huko Kitintale palikuwa hapatoshi. Jamani
Wimbi la kitintale palitikisa fikra zangu nikawa kama natizama movie. Mayuku mpambe wa mzee Ole alikua akishusha mkong'oto wa maana ila alikua akikalishwa sana na kina Obi na Linda. Ilinichukua muda kuamini kuwa jarida la sani limepotea.
dah aiseee mi nilikuwa najua et jamaa ana undugu na zidane hasa ule uparaπππUpande wa soka kuna jamaa mapungo toka bush stars, alisajiliwa kwenda chelsea kwa akili za kitoto nikamuuliza mjomba mapungo anavaa namba ngapi.