Zamani sie watu wa mikoani asilimia kubwa tulikuwa tunajua hawa jamaa wanaishi Dar.

Zamani sie watu wa mikoani asilimia kubwa tulikuwa tunajua hawa jamaa wanaishi Dar.

Kweli kuna wakongwe humu! duuu, midude ya kitambo? hata Willy Gamba Aliishi Dar, Ila nasikia alikufia pale leaders club, Chakubanga na polo pia waliishi mabibo.
 
Bob Mazish, Mzee Meco, Mzee Ole, Mayuku, Zena, Betina, Mwinyi mpeku, Linda, Oby n.k.Huko Kitintale palikuwa hapatoshi. Jamani
Wimbi la kitintale palitikisa fikra zangu nikawa kama natizama movie. Mayuku mpambe wa mzee Ole alikua akishusha mkong'oto wa maana ila alikua akikalishwa sana na kina Obi na Linda. Ilinichukua muda kuamini kuwa jarida la sani limepotea.
 
Mayuku alikuwa ndiye mkuu wa kitintale, Ole mlinzi,ila Ole alikuja kumpindua mayuku.Sijui nipo sahihi?

Kulikuwa na Zumo pia
 
Upande wa soka kuna jamaa mapungo toka bush stars, alisajiliwa kwenda chelsea kwa akili za kitoto nikamuuliza mjomba mapungo anavaa namba ngapi.
dah aiseee mi nilikuwa najua et jamaa ana undugu na zidane hasa ule upara😀😀😀
 
Bob Mazish, Mzee Meco, Mzee Ole, Mayuku, Zena, Betina, Mwinyi mpeku, Linda, Oby n.k.Huko Kitintale palikuwa hapatoshi. Jamani
aiseeeeeeeeeeeeeee Zena na Betina visanga vyao vilikuwa si vya mchezo
 
Ndumilakuwili na Sokomoko
1128623
 
Back
Top Bottom