Timu ya bush stars walikuwa wanaingia nafis uwanjani sometimes wanaingia huku wamepanda ungoHahaha umenikumbusha asee, akina mzee meco, nilikuwa nahisi Kuna Kijiji kabisa Cha wazee wa" Bush stars na wale wa town" , hiyo mechi hapatoshi asee, mpira unapigwa mwingi mno ...zamani bhana Raha saana [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna akina , akina "baba ubaya " naona walisha fariki...[emoji23][emoji23][emoji23]
Madenge bahati mbaya hakuwahi kukua na hadi sasa bado yupo na anasoma primary schoolebu tuma picha yake nadhan saiv atakuwa babu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hahaha ilikuwa burudani moja nzuri saanaTimu ya bush stars walikuwa wanaingia nafis uwanjani sometimes wanaingia huku wamepanda ungo
Alafu kwenye hela utakazokuwa ukilipwa kuna kamgawo pia utatupatia?
*Kindly Guys help me reach 1k subscribers on my channel click the above link then SUBSCRIBE Nothing bad will happen to you for doing so God bless you if you do subscription to my channel*[emoji120][emoji120]
Hapo sasahii kitu inawezakana lakini sasa kuwapa hao jamaa nadhani ndo kazi ilipo
Baadhi yao walishakufa wengine wamezeekaKwan walishakufa??
Nilikuwaga namwelewa sana Professor Ndumilakuwili nasikia wana undugu wa damu na "le Professor Lipumba"[emoji23][emoji23][emoji23]dah hatari sana kuna wale wazee wa soka bush stars na wa town aisee ilkuwa ni hatari wakikutana.vipi kuhusu wale madogo mapacha unawakumbuka??
Nasikia eti mpaka leo bado anasomaga darasa la tatu[emoji23][emoji23][emoji23]Madenge anakaa buguruni kwa binti madenge pale
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wahenga utawajua tu yaani hawakoseagi kabisa dah![emoji23]Bob Mazish, Mzee Meco, Mzee Ole, Mayuku, Zena, Betina, Mwinyi mpeku, Linda, Oby n.k.Huko Kitintale palikuwa hapatoshi. Jamani
Vipi alishagaacha pombe?Sokomoko alirudi kijijini kwao mwanalumango baada ya nyumba yako kuvunjwa pale magomeni kota
Kumbe nawe ni muhenga?Ndumilakuwili na Sokomoko
Barikiwa sana jombaa!
Yaah yupo darasa la tatu BNasikia eti mpaka leo bado anasomaga darasa la tatu[emoji23][emoji23][emoji23]