Zamani sie watu wa mikoani asilimia kubwa tulikuwa tunajua hawa jamaa wanaishi Dar.

Zamani sie watu wa mikoani asilimia kubwa tulikuwa tunajua hawa jamaa wanaishi Dar.

Hahaha umenikumbusha asee, akina mzee meco, nilikuwa nahisi Kuna Kijiji kabisa Cha wazee wa" Bush stars na wale wa town" , hiyo mechi hapatoshi asee, mpira unapigwa mwingi mno ...zamani bhana Raha saana [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna akina , akina "baba ubaya " naona walisha fariki...[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Timu ya bush stars walikuwa wanaingia nafis uwanjani sometimes wanaingia huku wamepanda ungo
 
Uzi huu utachangiwa na vibabu na vibibi Veterani pekee
 
Hao nakaa nao kitaa kimoja, naona kuanzia juzi wana trend sana kwenye WhatsApp na IG status.

Mmoja ana matatizo ya busha
 
*Kindly Guys help me reach 1k subscribers on my channel click the above link then SUBSCRIBE Nothing bad will happen to you for doing so God bless you if you do subscription to my channel*[emoji120][emoji120]
Alafu kwenye hela utakazokuwa ukilipwa kuna kamgawo pia utatupatia?
 
dah hatari sana kuna wale wazee wa soka bush stars na wa town aisee ilkuwa ni hatari wakikutana.vipi kuhusu wale madogo mapacha unawakumbuka??
Nilikuwaga namwelewa sana Professor Ndumilakuwili nasikia wana undugu wa damu na "le Professor Lipumba"[emoji23][emoji23][emoji23]
Pia nilikuwa namwelewa sana Dr love pimbi, Sokomoko, na mzee wa majibu ya nyodo (Lodi lofa)
Miaka iliyofuatia aliibuka mkali mwingine akifahamika kama baba ubaya ilikuwa shida!
 
Bob Mazish, Mzee Meco, Mzee Ole, Mayuku, Zena, Betina, Mwinyi mpeku, Linda, Oby n.k.Huko Kitintale palikuwa hapatoshi. Jamani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wahenga utawajua tu yaani hawakoseagi kabisa dah![emoji23]
 
Back
Top Bottom