Zamani title ya Profesa (PhD) ilikuwa inaheshimika sana

Zamani title ya Profesa (PhD) ilikuwa inaheshimika sana

Sasa mtu ana PhD ya magonjwa ya wanyama unategemea awe na nini nje ya magonjwa ya wanyama??..

Au proffesa wa miamba atajua nini nje ya miamba??

PhD sio kwamba anajua political science na social sciences na kila kitu
 
Back
Top Bottom