simba songea
JF-Expert Member
- Feb 8, 2016
- 1,498
- 1,216
Tunacheza kombolela afu woote tunapatikana lakini mkaka mkubwa na mdada mkubwa hawaonekani saa nzima tunangoja waje kutuokoa lakini hawaji.
Shenzi kabisa sijui kwa nini sikushtuka mapema.
Ila Mungu atatulipia kwa kutufanya walinzi wao..
Shenzi kabisa sijui kwa nini sikushtuka mapema.
Ila Mungu atatulipia kwa kutufanya walinzi wao..