Zamani tulipanga foleni kupata huduma hizi

Dah tumetoka mbali sana aisee 🙌

Nakumbuka kwa babu yangu alikuwa na hiki kitabu, bonge moja la kitabu sijui hata alikitoa wapi 😂
 
Simu mtu unapanga line pale kwa mkuu wa mkoa ttcl kibandani unaweka hela unaongea elfu 3000 mpaka 5 za njee ndani 2000 , unapanga foleni kulipia tra, na bills zote za serikali kwa sasa maji na bills zote unalipia kiganjani mwako
 
Ss hv natumia TTCL muda wa
Bando linakaa mwaka bila kutumia

Bando kuisha inategemea na matumizi yako
Hapa niikiacha bila kutumia
Hadi next year nitaikuta
 
Wala siyo zamani
 
Mabadiliko ya teknolojia, Wala ccm haihusiki. Kenya, Uganda, Rwanda n.k nao kutumia hizo huduma walipanga foleni kabla ya teknolojia mpya kuja. Au huko napo ccm walipeleka maendeleo?
Inawezekana nchi zingine zilihamasishwa na CCM. Si unajua moja ya ahadi ya mwanaCCM inasema "Afrika ni moja"?
 
Simu mtu unapanga line pale kwa mkuu wa mkoa ttcl kibandani unaweka hela unaongea elfu 3000 mpaka 5 za njee ndani 2000 , unapanga foleni kulipia tra, na bills zote za serikali kwa sasa maji na bills zote unalipia kiganjani mwako
Hiyo ya juzi
Simu za mezani zilikuwa kwa watu maalum
Huduma zilikuwa ni posta
Sijui kama vijana wa Leo wanajua kitu kinaitwa Telegram na Fax
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…