Zamani tulipanga foleni kupata huduma hizi

daah umenikumbusha wakati huo sisi tulikuwa tunapanga foleni shuleni asee cjui kama siku hizi wanafunzi wanafoleni
 
Naam tulipanga foleni katika vibanda vya kupata huduma.

Mama aliyekuwa anatuhudumia alikuwa ni mkali kweli kweli.

Hakuwa na masihara.

Kwanza unatoa pesa,,kisha unaingia ndani,

Na ole wako uchelewe.... anakutoa fasta ama uongeze hela,

Ukimaliza anaingia bafuni kunawa na maji ya karai,,,wengine humu hamjui karai ni kitu gani,

Chap kwa haraka anarudi ndani mwingine anaingia,

Madhara yake,,,Gono ...kisonono na kaswende ulikuwa ndio ugonjwa mkubwa sana na funga kazi ilikuwa ni fangasi mtu anawashwa na anajikuna hadharani bila yeye kujua,

Magonjwa haya ulikuwa ukichelewa kuyatibu yalikuwa yanapanda kichwani na kufanya mtu kuwa kama kichaa au mlevi mara nyingine hyufanya maamuzi ya ajabu ajabu.

Lakini cha ajabu kabisa magonjwa haya yalitibika kwa dawa za kienyeji.
 
Dah! Ila watu. Sawa bwana mhenga kwa hadithi yako.

Ko hadithi yako ina tufundisha nini sisi wajukuu ?
Yakhee hizi ni kumbukumbu mubashara!
Sio kila hadithi ujifunze,,,burdan yatosha...ingawa ukiangalia maudhui kuna kafundisho fulani.
 
Naam tulipanga foleni katika vibanda vya kupata huduma.

Mama aliyekuwa anatuhudumia alikuwa ni mkali kweli kweli.

Hakuwa na masihara.

Kwanza unatoa pesa,,kisha unaingia ndani,

Na ole wako uchelewe.... anakutoa fasta ama uongeze hela,

Ukimaliza anaingia bafuni kunawa na maji ya karai,,,wengine humu hamjui karai ni kitu gani,

Chap kwa haraka anarudi ndani mwingine anaingia,

Madhara yake,,,Gono ...kisonono na kaswende ulikuwa ndio ugonjwa mkubwa sana na funga kazi ilikuwa ni fangasi mtu anawashwa na anajikuna hadharani bila yeye kujua,

Magonjwa haya ulikuwa ukichelewa kuyatibu yalikuwa yanapanda kichwani na kufanya mtu kuwa kama kichaa au mlevi mara nyingine hyufanya maamuzi ya ajabu ajabu.

Lakini cha ajabu kabisa magonjwa haya yalitibika kwa dawa za kienyeji.
Kwa Wahaya??
 
Wakipata mimba, anarudi zake Kanyigo, akijifungua anaacha mtoto huko anarudi Dsm kazini!, Enz za kubarehe narudi zangu Bweni, nikapelekwa huko na Jamaa yangu, yale yale mazingira na yule mtoa huduma aisee hamu yote ikaisha nikasepa.
 
Back
Top Bottom