Zamani walikuwa wanaitwa "mama ntilie" ila sasa ni "mama lishe". Kwani hakuwezi kuwa na jina la Kiswahili lenye staha kwa hawa dada zetu "barmaids"?

Labda wanakosa staha, kutokana na mambo,na taratibu zao, kama ni hivyo, hata wakiitwa malaika, na neno malaika litakosa staha!

Upo sahihi. Barmaid ni “mjakazi wa bar” unataka apewe heshima gani zaidi ya apo?? Tatizo ni wenyewe na business za papuchi zao hata ukiwaita bar-tellers litaonekana bonge la tusi kwao wakati bank-teller is perfects[emoji817][emoji817]. Nimetembea wilaya nyingi za pembezoni mwa nchi bihashara ya barmaid kujiuza ipo juu mno mno so heshima ya kazi yao kushuka wameitengeneza kwa mikono yao wenyewe
 
Habari za wakati huu jamiiforums.

Zamani walikuwa wanaitwa "mama ntilie" ila sasa ni "mama lishe". Kwani hakuwezi kuwa na jina la Kiswahili lenye staha kwa hawa dada zetu "barmaids"?

Binafsi ninaona kama wanasiasa wamewasahau sana hawa akina dada wanaotoa huduma kwa wateja kule bar. Neno mama lishe, kama sijakosea, lilianzishwa na mzalendo mwenzangu Hayati mzee B.W Mkapa (wahenga mtanisahihisha katika hili kama nitakuwa nimekosea) wakati wa kuelekwa campaigns za mwaka 2000. Sasa mbona nyie wanasiasa wa sasa mmewasahau hawa dada zetu?

SOMA PIA>>> Kuna haja ya Serikali kupitia wakuu wa wilaya na mikoa kuwabana wamiliki wa baa ili dada zetu wahudumu wapewe kadi za bima ya afya ya CHF?

Maoni ya mdau
=====
Mimi huwa pia naona kuwaita barmaid huwa sijisiki fresh naona kama nawadharau ingawa ni jina linalotokana na kazi wanayoifanya,

Mimi huwa napenda kuwaita BINTI njoo nakuhitaji hapa kwa huduma na huwa wanafurahi sana kusikia hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bar maid...a woman who serves drinks in a bar. Kwani hili jina ambalo linaeleza kazi yao halina staha?
Jina la barmaid lipo sahihi ila wanalichukia vinaya kutokana na matendo yaliyomo ndani ya hiyo kazi, unakuta mdada anahudumia watu then wateja wakianza kulewa wanaanza kuwashikashika kwa kweli kazi zao ni ngumu sana kimazingira

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mama ntilie ni neno la kinyaturu lenye maana mama sijala,.
Ni neno zuri halina shida
Nitilie maana yake niwekee. Mama Ntilie ilikuwa na maana mama niwekee chakula kwenye sahani nimekuja kula. Hiyo ntilie ya kinyaturu haina uhusiano wowote na mama lishe wa sasa.
 
Habari za wakati huu jamiiforums.

Zamani walikuwa wanaitwa "mama ntilie" ila sasa ni "mama lishe". Kwani hakuwezi kuwa na jina la Kiswahili lenye staha kwa hawa dada zetu "barmaids"?

Binafsi ninaona kama wanasiasa wamewasahau sana hawa akina dada wanaotoa huduma kwa wateja kule bar. Neno mama lishe, kama sijakosea, lilianzishwa na mzalendo mwenzangu Hayati mzee B.W Mkapa (wahenga mtanisahihisha katika hili kama nitakuwa nimekosea) wakati wa kuelekwa campaigns za mwaka 2000. Sasa mbona nyie wanasiasa wa sasa mmewasahau hawa dada zetu?

SOMA PIA>>> Kuna haja ya Serikali kupitia wakuu wa wilaya na mikoa kuwabana wamiliki wa baa ili dada zetu wahudumu wapewe kadi za bima ya afya ya CHF?

Maoni ya mdau
=====

Wahudumu wa Baa... kaka na dada huduma wa baa.
 
Mimi huwa pia naona kuwaita barmaid huwa sijisiki fresh naona kama nawadharau ingawa ni jina linalotokana na kazi wanayoifanya,
Hilo jina kwa sasa linabeba maudhui mabaya sana hususan maeneo mengi ya uswahilini...
 
[emoji23][emoji23][emoji23] aisee
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
 
Back
Top Bottom